Recent content by Sahir Punzy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa kilugha chenu mnaitaje?

    Marriage activity.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

    Absolutely
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

    Hana sera.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

    Baadhi ya watu huamini katika science.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

    karibu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

    Hapa ukizungumzia dini kama imani ya kuabudu utakosea, hapa inabidi tuzungumze kwa ujumla kama dini ni the way of life, na ndio maana nikasema kuwa kuna dini zilizotoka kwa muumba na kuna dini tulizo jichukulia maamuzi sasa dini za waafrika nyingi sana zilikuwa ni utashi wao tu! zilikuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

    Hapo kwenye kibubu tutaongopeana, kuna mtu alitoa 10000 tu! kwenye kibubu cha chuma kabla ya malengo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka yule member mwenye signature hii...

    Nipo serious
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka yule member mwenye signature hii...

    Labda ataje mwenyewe, mimi simjui.
  10. S

    JamiiForums Tanzania C.I.A washukiwa kupandikiza virus kufanya udukuzi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki na Asia, Tanzania ikiwemo

    Yakiwaka moto tunayarudisha tena katika mtandaoni, au tuyafukie chini.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka yule member mwenye signature hii...

    Mwanzoni kabisa nafungua akaunti hapa jf niliwahi kuona signature ya member fulani hivi lakini mpaka leo sikumkariri sasa kama kuna member humu anamfahamu anitajie jina lakge ''ukiokota bunduki usiitupe itumie'' sina uhakika kama aliandika hivi ila yanafanana na haya.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    MV Bukoba ingekuwa imezama Ulaya sasa hivi ingekuwaishatolewa movies.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Toyota IST, Vitz na Passo zaongezeka kwa kasi ya ajabu mitaani

    duet ukigongwa na bodaboda unadhani umegongwa na semi trailer.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kulia kwa kusikia neno la Mungu?

    Sasa ipi bora kulia kwa sababu ya passo na kulilia demu?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kulia kwa kusikia neno la Mungu?

    Jamani watu tunatofautiana ujue, kuna wengine hulia kwa sababu za mapenzi na wapo wanaolia kwa sababu ya upotevu wa mali mfano; kuungua nyumba moto, gari na mali nyengine tuzipendazo, na inafika kipindi mtu analia na kubweka kama mbwa kwa sababu paso yake imewaka moto. Je ushawahi kumuona mtu...
Back
Top Bottom