Ulishawahi kulia kwa kusikia neno la Mungu?

Sahir Punzy

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
86
Reaction score
55
Jamani watu tunatofautiana ujue, kuna wengine hulia kwa sababu za mapenzi na wapo wanaolia kwa sababu ya upotevu wa mali mfano; kuungua nyumba moto, gari na mali nyengine tuzipendazo, na inafika kipindi mtu analia na kubweka kama mbwa kwa sababu paso yake imewaka moto.

Je ushawahi kumuona mtu analia au wewe mwenyewe ushawahi kutoa chozi kwa kuhofu neno la Mungu?
 
Mimi nimelia na naamini nitalia bado kwa ajili ya neno la Mungu aliye hai lakini si kwa hofu bali kwa fadhila,faraja,uzima na nguvu za Mungu,.kuna wakati unapokea neno linagusa maisha yako moja kwa moja na unaiona neema ya Mungu ilivyo ya ajabu na kuu ndani ya maisha yako,ukiitafakari neema hiyo katika Roho unajikuta tuu machozi ya utukufu yanashuka....ooh hallelujah, Neno la Bwana na lidumu milele!!!
 
Bwana Yesu asifiwe
 
Dada pamojq na hayo....wachungaji hutumia maisha ya atu kama mitaji
Anaelewa katika jamii matatizo Ni umasikini...madeni...uchawi...magonjwa..elimu...ndoa....akishagusa maeneo hayo....amegusa 99% ya kanisa zima.halo kinabaki kilio sasa......
Pamoja na hayo hawezi ongea kama Dk shika...noooo kuna kitu kinaitwa art of speaking.....nawaza jamaa wapo vizuri sana
 
Wachungaji na wao ni binadamu kama ulivyo ww au mm,na si wachungaji wote wabaya hili ulitambue...halafu neno halitoki kwa wachungaji pekee ndio maana sijataja mchungaji,nabii wala mtume,..
 
Mimi nimelia na naamini nitalia bado kwa ajili ya neno la Mungu aliye hai lakini si kwa hofu bali kwa fadhila,faraja,uzima na nguvu za Mungu,.kuna wakati unapokea neno linagusa maisha yako moja kwa moja na unaiona neema ya Mungu ilivyo ya ajabu na kuu ndani ya maisha yako,ukiitafakari neema hiyo katika Roho unajikuta tuu machozi ya utukufu yanashuka....ooh hallelujah, Neno la Bwana na lidumu milele!!!
Ameen and Ameen!! Hakika kuna wakati unasikia uwepo/nguvu ya Mungu na kupelekea machozi kutoka yenyewe
 
Mimi nimelia na naamini nitalia bado kwa ajili ya neno la Mungu aliye hai lakini si kwa hofu bali kwa fadhila,faraja,uzima na nguvu za Mungu,.kuna wakati unapokea neno linagusa maisha yako moja kwa moja na unaiona neema ya Mungu ilivyo ya ajabu na kuu ndani ya maisha yako,ukiitafakari neema hiyo katika Roho unajikuta tuu machozi ya utukufu yanashuka....ooh hallelujah, Neno la Bwana na lidumu milele!!!
Amina
 
me niliwahi tena utotoni nilisoma bible kuhusu habari ya Yusufu na kaka zake walivyomuuza utumwani Misri na baadae alivyokuja kuficha kikombe kwenye gunia la mazao la mdogo wake wa mwisho ile story ilinigusa sana na ulinifundisha kuhusu kutenda mema
 
Mimi nimelia na naamini nitalia bado kwa ajili ya neno la Mungu aliye hai lakini si kwa hofu bali kwa fadhila,faraja,uzima na nguvu za Mungu,.kuna wakati unapokea neno linagusa maisha yako moja kwa moja na unaiona neema ya Mungu ilivyo ya ajabu na kuu ndani ya maisha yako,ukiitafakari neema hiyo katika Roho unajikuta tuu machozi ya utukufu yanashuka....ooh hallelujah, Neno la Bwana na lidumu milele!!!
Duuuu!! Weee jamaaaa, eti oohh aleluya!!! Umetisha mkubwa
 
Mimi nimelia na naamini nitalia bado kwa ajili ya neno la Mungu aliye hai lakini si kwa hofu bali kwa fadhila,faraja,uzima na nguvu za Mungu,.kuna wakati unapokea neno linagusa maisha yako moja kwa moja na unaiona neema ya Mungu ilivyo ya ajabu na kuu ndani ya maisha yako,ukiitafakari neema hiyo katika Roho unajikuta tuu machozi ya utukufu yanashuka....ooh hallelujah, Neno la Bwana na lidumu milele!!!
Hivi kwa nini Mnaweka hili neno, "Mungu alie hai" Wakati inaeleleweka Mungu, yupo hai, kama ilivyo, Mungu halali. Kwanini isiwe kama unavyomuongele mtu ambae, anaishi, mbona hatuweke Mfano: John, alie hai. Kuna shaka gani, juu ya uhai wake, mpaka kuhitaji hakikisho, mbona hatusifu, juu ya uwezo ambao anao yeye mwenywe tu, badala kuhakikisha, uhai wake, ambao, Binadamu, ng'ombe, panzi, nyoka, Sungura anao.
 
Nishawahi kumwaga chozi misa ya asubuhi pale kkkt kijitonyama baada ya kumdanganya mke wangu ninasafiri kwenda zanzibar asubuhi na nitakaa huko siku 3, sasa nimeondoka asubuhi sana nikaona nianzie kanisani maana sina pa kwenda kwa mda huo daah utasema mch. Kimaro alijua dhamira yangu alitoa neno linanigusa kabisa kila kitu akasema hili neno siyo la kila mtu kuna mtu mmoja tuu hapa, akatolea mfano wa nilichokuwa nnataka kufanya...nilidondosha chozi misa ilivyoisha nikarudi kwa mke wangu na mchepuko nikaupotezea
 
Back
Top Bottom