Recent content by saggy

  1. S

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nimepata matatizo wakati natumia huduma yenu ya MPESA kutuma Pesa kwenye Account yangu Bank ya NMB kwakuwa natumia Account ya NMB -Mobile siku ya Alhamisi ya Wiki iliyopita (tarehe 14/04/2016) .Pesa haikutumwa kwenye Account yangu NMB mpaka sasa .Nimejaribu kureport tatizo hilo kwa Vodashop...
  2. S

    Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Pole sana,mimi pia nilikuwa natuma pesa Bank kutoka MPESA sasa wiki moja sasa mpaka leo Pesa hazijafika kwenye Account yangu nimejaribu kufuatilia Vodashop Mtaa wa Samora mpaka leo nazungushwa kwakweli ni aibu kubwa kwa Kampuni ya Vodacom.Kwa sasa sitatumia tena huduma yao ya MPESA hadi...
  3. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    saggy Sasa kumekucha huko Dodoma,nina imani watafanya uamuzi wa busara na kumpitisha mgombea ambaye atakidhi matarajio ya Watanzania,Watanzania wamechoka na Rushwa,Umaskini,Udini na Ukabila.Watanzania wanahitaji mabadiliko na mtu anayeweza kuleta mabadiliko.
  4. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    HATARI NNE KWA CHAMA,SERIKALI NA NCHI (4) IKIWA JINA LAKE LITAKATWA KWA MIZENGWE Baada ya kuungwa mkono na Mamilioni ya Watanzania hatimaye sasa EL ametangaza nia na amechukua Form ya kuomba chama chake kimpe ridhaa ya kukiwakilisha kama mgombea wake ambaye atapeperusha bendera yake kwenye...
  5. S

    Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

    Huyu mtu mimi nasema wampishe tu maana wakimtoa kwa sababu hii wamejimaliza,tena wamshukuru sana huyu na Dr maana swala hili lilikuwa la aibu kubwa sana na mimi moja ya kitu nasema kimempatia heshima kubwa sana EL ni kukubali ku resign kwa ile issue yaani ni mfano mzuri wa kuigwa,while alikuwa...
  6. S

    Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

    Hili jambo ni zito sana,lilitia aibu sana Serikali na Chama na Waziri Mkuu ndiye mtendaji Mkuu wa shughuli za Serikali kwa mujibu wa Katiba na chombo cha maamuzi ya serikali ni Cabinet na mwenyekiti wa Cabinet ni Rais hapa wenye akili mumenielewa naongea nini.Kwa ufupi ni kwamba kama chama...
  7. S

    CCM na Falsafa yake ya “Jembe ni Mkulima” na Nyundo ni “Mfanyakazi” imepitwa na wakati

    Tangua kuanzishwa kwa Chama hiki mwaka 1977 kufuatia muungano wa vyama vya TANU na ASP chama hiki kimekuwa kikijindai kwamba kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi,huku Jembe ikimaanisha ni Mkulima na Nyundo ni Mfanyakazi.Falsafa hii ilimaanisha kwamba chama hiki kitakuwa kikiamini kwamba...
  8. S

    Gavana: Ununuzi wa vifaa vya BVR,mitambo ya TANESCO na mabehewa ya treni sababu za kushuka shilingi

    Nilidhani kuna mtu atakuja hapa kutusaidia kwamba sababu ni zipi je aorodheshe hapa sababu tano nje ya hizo alizosema Prof. ili tuzipime natujadili,tusigeuze Forum hii sehemu ya kujadili watu badala ya "Issues" wengine sisi n wanafunzi tunategemea kuja kujifunza kwenye Forum hii of Great...
  9. S

    Kufungiwa SELCOM: Simbachawene amekurupuka? JamiiForums ilikuwa na taarifa kabla ya mwekezaji!

    Kwa kufikiria nahic kuna mambo mawili hapa; 1.Vita ya Kibiashara 2.Tatizo la Tafsiri Kisheria ( VAT Act& Regulation I mean) 3.Role of Energy Regulator iko wapi? 4.Transparency/Uwazi Kuna uwezekano wapo washindani wa Kibiashara wa hawa jamaa ambao wanatamani kuingia kwenye Soko kwa njia...
  10. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kwa kawaida hata nchi za wenzetu,Rais anatakiwa kutoka nje ya watu waliopo kwenye System ya utawala uliopo kwanini,hatuwezi kuamini kwamba mtu aliyepo kwenye Utawala uliopo anaweza kuleta changes...Mwl.Nyerere aliwahi kusema;nanukuu; "Watanzania wanahitaji mabadiliko,Wasipo yapata ndani ya CCM...
  11. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mimi nampigia chapuo kutokana na Rekodi yake nzuri ya utendaji kazi akiwa Serikalini na Nje ya Serikali.Nin imani huyu anaweza kuendeleza yale yote yaliachwa na watangulizi wake waliotangulia huko nyuma.Kila nikimsikiliza ninaona ni moja ya watu wachache wanaojua Tanzania inataka kwenda wapi na...
  12. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mimi sioni mtu anayekuja na Hoja nzito ya kupinga maelezo hayo,je si kweli kwamba Uamuzi ule haukuwa wa Cabinet?na kama ulikuwa wa Cabinet mwenyekiti wa Cabinet ni nani?Waliokuwepo kwenye hicho kikao ni akina nani? EL aliamua kulinda Heshima ya Chama na Serikali ndo maana akajiuzulu but kusema...
  13. S

    Mwl. Nyerere: Tanganyika sio sera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Hiyo ni moja ya Nukuu maarufu za Baba wa Taifa ,Hayati Mwl.Julius K.Nyerere miaka ya 1995 wakati harakati za kuzima vuguvugu la " Tanganyika na G55" alipoutaka Uongozi wa chama wa wakati huo kutangaza Rasmi kwam Umma wa Watanzania kwamba Tanganyika Sio Sera ya Chama Cha Mapinguzi . Msingi wa...
Back
Top Bottom