nimekuelewa sana ila sio kusema ukosefu wa miundombinu ndo unachangia kwa kiwango kikubwa ila ni ukosema wa uhalisia wa elimu yetu na mazingira unaingia form1 had 6 unafundishwa vita vya adof cjui mungunduz wa mto sas hapo nikitoka nitaenda kufany kaz gan yakutafta vita vilipotokea au mto ulio...
umeongea point unaweza kuta mamaake alipata mimba afu baba akamwambia atoe akamp kabsa na hela ya kutolea hivi kwa akili yake anategemea mm nikizaa nitamwambia babake ni flan akati alishatoa hela ya kutolea mimba inamaan nikilea mtto ni wakwangu aache ujinga miez 9 limekaa tumbon mamako...
yan huyo mwanamke anaakili san wanaum wengi wanajali familia zao tu hawataki kusaidia upande wa kike utasikia nimeoa ukoo wako sas kam hujaoa ukoo wangu unatak mm nikipata hela nicjengee ukoo wetu hadi nikupe ww ujengee kwenu tena wanawake tujenge hadi magorofa hawa wanaume watatuuwa
unajua kunautofaut na hakun usawa kat ya mwanamme na mwanamke huo ndo ukweli coz mwanamke ukifik wakati utabeba mimb huwezi ukafany kaz kwa ufasaha au ukij kuzaa ukawa na kichang kwahy kam mwanaum yey ni mtu wa tv tu anasubir mm nifany kila kitu unahic tutaendlea hapo
ila tuende mbele na kurdi nyuma nyiny wanaume wasaliti wakubwa yan mbon wanawek weng wanavumilia mnaoa wake wengi lkn mkeo yupo tu ww umemfuma mara moja tu unatak umuacha unawez pat kicheche zaid cjui utaoa wangp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.