Recent content by safi2

  1. safi2

    Bakari Machumu anafaa kumrithi Zuhura Yunus, si vinginevyo

    Atafukuzwa ndani ya wiki 1.
  2. safi2

    Ajali ya mabasi kutokana na kutokujali kwa dereva? Teknolojia barabarani ni suluhisho pekee

    Pole kwa majeruhi, hawa madereva wanapata mda wa kutosha kupumzika?
  3. safi2

    It hurts me when no one will notice where ever I go

    Hospital na waganga wakishidwa, yupo Mungu aliekuumba.
  4. safi2

    Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

    Sh 10,000, bei inaweza kubadika kidogo.
  5. safi2

    Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

    Naishi Dar kwa sasa Dodoma.
  6. safi2

    Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

    Mende 1 inazalisha mifuko 70 = sq mt 140. Ngarama haiwezi kuzidi 18,000 kwa sq mt piga hesabu vizuri.
  7. safi2

    Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

    Mfuko 1 unafyatuliwa kwa sh 10,000 unatoa sq mt 2. Bei inapungua had 8,000 kutokana na mazingira.
  8. safi2

    Je, kuna uhusiano wotote kati ya nyumba unayoishi na kufunguka mambo yako?

    Ukiligundua hili ufanyeje uweze kutoka?
  9. safi2

    Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

    Kwa maelezo zaidi karibu.
  10. safi2

    Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

    Nikujibu kwa kifupi: Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2. Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140. Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
  11. safi2

    Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Wasaa wa kuandika katiba bado, hadi babeli itimie.
Back
Top Bottom