jamani kama Wiki mbili zimepita niliwashirikisha kua mchumba nilie mtambulisha aliumwa ghafla, sasa nimegundua tatizo japo hakua mwazi Sana anasema tatizo kipindi yuko A level alia kugombana na mdogo wangu kisa mwanaume walikua wanashare na alimaliza hawapatani,sasa anahisi atamharibia kwa...
Mambo,,jamani mm ni kijana wa miaka 28 nina mpenzi ambae leo nimemtambulisha nyumban baada ya kuondoka tu nokia na msindikiza alike italia nikajua furaha baada ya saa moja nikapigiwa simu kalazwa sasa cjui nn Tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.