kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 454
Jirani tu wewe ushaweka mambo kibao mkuu mpende jirani yako kama nafsi yako!
Sasa inahusu nini?wewe muhaya?yani miafrika bwana sasa yeye kuonyesha anakupenda wewe unakuja kumsanua huku je nayeye kama yumo humu?undhani atakuwa anajisikiaje?acha ushamba au nia yako nikutuambia umepanga aptmnt?nimekuona wa hovyo hovyo!wewe unaweza ukaadithia utupu wa girlfriend wako!

....we sema hana viwango unavyotaka in terms of body morphology.. (color, coursework, tabasamu, nywele, saa saba kasoro robo, mguu wa bia)..ukisingizia umri unatudanganya..ajira anayo, mkwanja upo...nenda mkapime umpe huduma stahiki..."ufunguo ni kwa ajili ya kitasa na si vinginevyo" :laser:
Jamani mwenzenu hapa napokaa nina kama abt a year sasa...life yangu nikitoka job ni mimi na my family au mitoko tu ya nje..neighbour ni habari mzuri baasi....sasa kuna dada anafanya kampuni fulani..mkubwa kidogo kwangu..tho hana mtoto(nadhani mambo yalikataa maskini) kuna siku alinikuta namsindikiza rafiki yangu akatujoin abit nadhani aliienjy my company..frm there naona kama anawish tuwe marafiki kiaina mara tuanze Gym mara anielekeze mikate mitamu inauzwa wapi twende tukitoka kazini...mi nahisi kama not my type..yeye hana majukumu,na anaonekana spender....Namkwepajeeeeeeeeee asijisikie vibaya