Recent content by safar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA kwazuka ugomvi, Mjumbe wa Kigoma apigwa

    Lema naye amezidi,hata kama mimi ni mchaga nachama ni chababu yetu mzee mtei tunaenda pabaya sisi cdm
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    Nape punguza mdomo usijifanye mungu mtu,mimi naunga mkono lowasa kuwa mgombea kwasababu uweza anawo sababu anayo mwisho anamaamuzi magumu nchi itanyooka
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kanisani balaaa...

    Baadhi ya wanawake wanakuja kanisani nanguo fupi ili kuwatega mapasta
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kada mashuhuri wa CCM ajiunga CHADEMA

    Poa karibu usije kuwa umetumwa
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM wafanya siasa za ukabila Sombetini Arusha ni ktk kinyang'anyiro cha Udiwani

    Tumechoka kuwapa wahuni kata,sombetini siyo shamba labibi tutampa kura mtu bila kujali chama dini kabila wala ukanda,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Mungu amweke mahala pema peponi Amin,kwani nilazima anyongwe tu,hivi jamani hakuna mahala pengine penye soko ila china?
  7. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Zito nijembe nasilazima mtu awe wa kaskazini ndo awe jembe
Back
Top Bottom