Recent content by saede mbondela

  1. S

    Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

    It's true kipaji kama hiki kinaweza kupotea mahali oasipojulikana. Mfumo wa elimu tuliyonayo utamlazimu kupitia njia ambayo ina milima na mabonde ya kutosha. Ni kiwa na maana uwezo peke yake wa kubuni hautoshi lazima darasani pia awe vzr ili aweze kufikia lengo. Naona palikua na kila haja ya...
  2. S

    Ukweli kuhusu mbegu za kiume (sperm) !

    Maintain your enviroment with successful people. Avoid mediocre groups
  3. S

    Ukweli kuhusu mbegu za kiume (sperm) !

    We have more critics than Motivations, most are pessimistic than its opposite
  4. S

    Zanzibar bila ya Muungano ingekuwa ni upper middle income country!

    Idadi kubwa ya watu naona ni moja kati ya mambo yangeweza kutuendeleza zaidi. Tunahitaji nguvu kazi ya taifa, kama number ya watu itakua kubwa na wote ni wachapakazi na wanafikiri vizur namna ya kuliendeleza taifa kuna haja gani ya kuzuia kuzaliana?? Weka misingi madhubuti katika elimu, elimu...
  5. S

    Zanzibar bila ya Muungano ingekuwa ni upper middle income country!

    Nchi ngapi duniani they had full potential of becoming more prosperous than these we are seeing today like US, Canada etc??
  6. S

    Zanzibar bila ya Muungano ingekuwa ni upper middle income country!

    Tunahitajika sana tusome historia na angalau theory za social science zinazoelezea prosperity na poverty kwa mataifa. Naomba ujenge hoja tena kwa kuassume tayari wako peke yao bila Bara then tueleze maendeleo yao yangekuja vipi..?
  7. S

    Faham mbinu muhimu za kusaidia ufanikiwe katika biashara yako.

    Leo katika pita pita zangu za hapa na pale nilihitaji kifurushi cha mtandao ninaotumia kwa ajili ya kuweza kupiga mitandao yote. Nilipofika kwa mtoa huduma nilimuuliza vocha ya **** ntapata kifurushi kitachonipa dakika ngapi za mitando yote?? Mtoa huduma alishindwa kunijibu huku akiniambia yeye...
  8. S

    Utaratibu mpya wa kupata passport kwa kutumia kitambulisho cha kitaifa ukoje kwa wale waishio nje ya nchi?

    Ishu ya kitambulisho nimefanikiwa kufanya maombi na sasa nakisubiria tu. Cheti changu cha kuzaliwa niliki-certify kwa mwanasheria na hivyo kuwepesisha zoezi.
  9. S

    Utaratibu mpya wa kupata passport kwa kutumia kitambulisho cha kitaifa ukoje kwa wale waishio nje ya nchi?

    Msaada. Mimi nimerejea nchini juzi tu hapo kutoka masomoni, pia ni muhitaji wa passport mpya ambapo kwanza ntaanza na cha uraia. Vyeti vyangu(original) nimeacha nyumbani kwangu ninapoishi huko ughaibuni. Zikupata wazo la kubeba vyeti(original) kwakua tayari nilishakua na pasport awali. Lakini...
  10. S

    Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja

    It is like a habit now to attack Original Poster without any strong argument. Watazania wengi ni waoga kujenga hoja badala yake wanakimbilia matusi na kejeri. Kinachosikitisha zaidi wenye tabia hizo sio watoto wadogo labfa tuseme balegh zinawasumbua, ni watu wazima na akili zao timamu. Kwa...
  11. S

    Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja

    When the 4th one comes into position.
  12. S

    Je, unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

    Kwanini article zetu hazipo kitaalam zaidi? Haya mambo yanahitaji research na lazima iwekwe wazi how was conducted until you reached that conclusion.
  13. S

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Mimi nikija kwako kama mteja nisiefahamu taaluma ww kama mtaalamu inabidi uje na njia mbadala itayopunguza gharama za ujenzi. Kama mteja nilietembea na kuona namna nchi zingine zinavyojenga nikakutolea hoja ya ujenzi wa waturuki na kuona una nafuu kwangu, ww kama mtaalamu nipe maelezo ya kisomi...
  14. S

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Lengine hii sio tech mpya. Kuna majengo yana zaidi ya miaka 30 na yalijengwa kwa style hyo. Na hiyo case yako ya kusema wanajaribu tech ni dhahania sana haijajengeka katika mashiko. Watu wanakaa darasani wana calc kila kitu si maswala ya kubahatisha bahatisha
Back
Top Bottom