Recent content by SAE 40

  1. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

    https://youtube.com/channel/UCCbkYFP5I66_M6L0PMjaBlw
  2. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Kodi ya kuingiza magari na mafuta Tanzania ni mara mbili hadi tatu ya bei ya manunuzi

    Hivi n nn kifanyike, sauti ipazwe ili isikike au inaeleweka kuwa kuna wanaoumia lakini ndo hivyo SIRIKALI haitaki kuelewa.🤔
  3. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Nauliza swali: Ni kanuni gani inatumika kutoza kodi ya kuingiza (import) gari toka nje ya nchi?

    Hyu ni zaid ya boya. Hana ndoto za kumiliki gari yupo yupo tu.
  4. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufulia sasa nahisi Gari inatumia mafuta vibaya

    Aisee mm nina GX 100 ni 2L CC inaenda 9-10km per L. Sawa na IST.... LIFE IS NOT FEAR
  5. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufulia sasa nahisi Gari inatumia mafuta vibaya

    Kaka pia mm nina chaser gx100 inaenda 10Km per L ni 2L CC. Alfu namba A, Dah jaman..😅
  6. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Nop, kuna uwezekano.
  7. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Tena ukibadili namba ya simu... itasema ya form IV imetumika pia.
  8. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Ok, ni kweli ukiingiza namba inasema hivyo ila kuna uwezekano wa kupita hapo na ukapata form tena.
  9. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Jaribu kupakua tena form yako iwe kama ina refesh inaweza kuja password, unless otherwise umekosea kujaza email yako kwenye form angaliza vizur.
  10. SAE 40

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    Pakua form nyingine ujaze then utafuta ile uliyoi upload.
  11. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Ulifanikiwa??, coz baada ya kuhangaika nimepata namna unaweza kuomba tena kama ulikosea email. Na ukapata login password via coreect email.
  12. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    Utakuwa umekosea.
  13. SAE 40

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    Kama hamna sms kutoka SENSA AJIRA kwenye email yako... basi jua umekosea kuandika email kwenye form. Maana email unayoiandika kwenye form ndiyo email inayotumika kukutumia password kwa ajili yaa kulogin baadaye ili urudishe form ulizozijaza.
Back
Top Bottom