Huyu asikofu aliishawahi kumpa mwanamke mimba, je anajua lolote kuhusu kuzaa na kulea ,je anafikiri usipoyajadili hayo hizo sheria za kuyasimamia utazitunga vipi ? Huyu asikofu aendelee na mambo yake ya dini haya mambo ya bunge atuachie sisi na wabunge wetu.
Mkuu mawifi wana rahana , mkeo anasimangwa na mawifi na yeye akienda kwao anawasimanga mawifi zake (yaani wake wa kaka zake) hawa mawifi wana rahana ya asili .
Kesi kwenye hiyo butcher zipo nyingi , ili uweze kumuchinja nyati lazima umpige risasi kwanza ukae saa moja ili kumsogelea ambapo kwa saa moja anakuwa tiyari amekata moto hivyo unachinja kibudu ,hiyo ni kesi namba moja kulisha watu kibudu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.