Recent content by Sadoseba

  1. S

    JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Dawa ya moto ni moto! Kiandikwe kitabu kuelezea mema ya JPM kwa taifa. I bet kitanunuliwa saaanaa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Vita ya maneno hupigwa kwa maneno; Vita ya kiuchumi hupigwa kiuchumi..; Vita ya kiroho hupigwa katika roho.. Wake up call ;- Tenzi za Rohoni no. 69
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Ni suala la watendaji kutengeneza na kusimamia by-laws, ili miradi hiyo iwe na tija.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Umenena vema. Ni kweli stendi ya mabasi makubwa haijaanza operation. Ila hii ya kwenye video ni stendi ndogo na inafanya kazi mpaka saa 12 jioni. Magari yanayotoka chato kwenda Mwanza kweli ni machache e.g Mkwema, & stendi ndogo inafanya kazi kila siku (Mabasi ya kwenda katoro, Muganza, Mwanza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    SIO KWELI!! Hii video itakuwa ya zamani sana... kabla ya stendi kuanza kutumika. Kwamba hakuna gari wala mtu yeyote? Can you show some respect to God your creator, at least kwa kupost taarifa yenye ukweli?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TBA unakwama wapi?Unashindwa swali dogo kama hili?

    Zinaitwa ramp. Amezigusia mkurugenzi wa TBA
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TBA unakwama wapi?Unashindwa swali dogo kama hili?

    Usipotoshe umma mkuu! Kitaalam, wheelchairs hazipiti kwenye staircase (ngazi za kawaida zenye threads na risers). Lazima ijengwe ramp (ngazi isiyo na steps). Otherwise kuwe na lift, fullstop! No alternative! Na hoja ya mkurugenzi ilikuwa ni Lift na Ramp. Kuna umuhimu wa kuheshimu taaluma za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mlanguzi wa madawa ya kulevya, Ayoub Mfaume (Kiboko) akamatwa

    Hajaitwa mahakamani kuthibitisha., hakuna ulazima wa kuvionesha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mlanguzi wa madawa ya kulevya, Ayoub Mfaume (Kiboko) akamatwa

    Nenda mahakamani upewe cheti
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Nakubali sana utendaji kazi wa Makonda, whatever his identity is...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada:- Naomba kujua gharama za kuishi Nairobi

    Heshima kwenu wakuu. Natamani kufika Nairobi Christmas hii.Bahati mbaya sijawahi kufika huko. Kwa yeyote mwenye uzoefu, naomba kufahamu yafuatayo;- 1.Gharama za ordinary hotels pale Nairobi kwa siku 2.Gharama za ordinary meals Nawasilisha kwenu wakuu.Naomba msaada wenu please
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ivi ni kweli eti continuing students wenye supp hawasaini mkopo?

    Kwa walio vyuoni, inasemekana eti wanafunzi wanaoendelea na masomo hawapewi fedha ya kujikimu ikiwa wana supplementary hata moja. Hii ni kweli?
Back
Top Bottom