Recent content by sadoq

  1. sadoq

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tatzo meridian mpk ujisajili ufanye kaz,umewezaje man?nipe maujanja.jins ya kujisajl mpk mwsho!
  2. sadoq

    Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Mhh. Mi ni mwalimu lkn hiyo hali sijakutana nayo maishani mwangu. Kila niliewahi kuwa naye alitamani ndoa. Mi nipo kwenye hiyo ulioiita ‘ngumu sana.’
  3. sadoq

    Sumbawanga: Wamekula hela za mradi kisha wakachoma nyaraka

    Oya tulisoma kwa tabu kumbe pesa ililiwa
  4. sadoq

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Wanafiki tu. Wanasubir mwingine ili waseme aliepita alikuwa hafai.
  5. sadoq

    Wanaume wa karne ya 21 tunaendelea kupoteza uanaume wetu (masculinity)

    “Jamii inawatazama sana wanawake na kutusahau sisi wanaume”. Kwani jamii yenyew ipo kwenye jinsia gani.!?
  6. sadoq

    Bado mechi 10 Yanga awe bingwa

    Tulieni msiwe na mchecheto Wananchi wenzangu. Ubingwa unakuja tu cha msingi tujiandae kishinda mechi zetu tuache kucheza mechi zao. Safari ya kwenda Africa kuwafundisha namna ya kumfunga mwarabu yeyote bila makando tena nje ndani
  7. sadoq

    Lowassa amtelekeza Tundu Lissu, yeye alalamikia kutikiswa

    Lowasa hana haja ya kuomba kura jimbon kwake,wamasai wataibiw ng'omb kw Nyomi lake
Back
Top Bottom