Recent content by SADIT

  1. S

    Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Daah, mna edit sana sasa, Rais wangu hakuvaa hivi
  2. S

    Tundu Lissu: Wiki moja katika siasa ni sawa na mwaka mzima katika masuala mengine

    Inahitaji uelewa wa hali ya juu kuelewa kilichomo
  3. S

    Kwanini jina la Apson Mwangonda?

    Tafakari sasa, mtu anayejua undani wa mtu huyo kuliko hata wewe ujuavyo kuwa mmoja wa watu wanaomuunga mkono huyo uliyelishwa maneno kuwa ni fisadi, Mahakama zipo wazi peleka ushahidi utasikilizwa
  4. S

    Kwanini jina la Apson Mwangonda?

    Kiongozi mstaafu wa serikali anapoamua kuwa mwanasisa nje ya chama dola ni kukiuka kiapo, mbona husemi IGP mstaafu alipoamua kugombea ubunge kwa tiketi ya chama dola?
  5. S

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    kuna watu wanajivua nguo wakati huu kuliko wakati mwingine wowote, huyu nae ni mmoja wapo
  6. S

    Bei za bati kiwandani

    Mkuu hakukuwa na lazima ya wewe kujibu kama huwezi kusaidia
  7. S

    Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

    chama cha ssem kinawasomi wangapi na tuko wapi? shame
  8. S

    Kashfa nyingine ya Mbowe: Kumbe Juma Duni Haji hajakabidhiwa kadi ya CHADEMA

    pilau ya pikwa kwa jirani tumbo la kuvuruga weyeee kwani wewe Mwana UKAWA??, zungumzia Pinda kutokuwepo jana wakati yeye ni mwenyekiti wa wabunge wa CCM
  9. S

    Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Muda umewaumbua mtoa habari na gazeti lenyewe
  10. S

    Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

    Aliyeacha kufikiri ni yule aliyekufa tu. Narejea, jina hubeba sifa, tabia na mwenendo wa mtu, kitu au sehemu. Aliyetoa jina la Tingatinga kwa mtu hakukosea alifanya akijua hasa anamaanisha nini kwa aliyemkusudia, Wote tunajua sifa za Tingatinga lakini kifaa hiki bila dereva makini si chochote...
  11. S

    Kuwa makini na nguo za kuvaa

    Jogoo wanasalimiana
  12. S

    Belle 9 katisha, chukua dakika 3 kusikiliza track yake mpya

    Belle 9 is the best artist, Bravo Bro
  13. S

    Iam so lonely on my own

    Pole kasinde, time is a good healer..praying for u that t shouldnot take longer time.
Back
Top Bottom