Recent content by Sadick Mkaugala

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

    Kwenye mambo ya maana hawajitokezi, kwenye upuuzi wanajaa, dunia imefika kikomo. Subiri parapanda mchezo uishe. Endeleeni kula ujana, ila dunia siyo ya mzungu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, huu ni uzembe mwingine wa jeshi la polisi

    Matusi yanini wewe? Unatetea ujinga halafu unatukana? Angekuwa raia wakawaida hapo askari wangemsumbua hadi aione dunia chungu. Unaongea upuuzi halafu unatukana mtandaoni. Take care sir please, just do it.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

    Dini inaenda sambamba na siasa, huwezi kutofautisha dini na siasa kamwe, kwahiyo shekh ponda yupo sahihi kabisa, huo ndiyo uislamu sahihi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Ameongea sawa kabisa, bibilia haijasema kuoa mwisho mmoja, ila kwakuwa mmeshapandikizwa hilo basi huwezi kukubali wala kufuata. Ila ndoa yaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Wakristo wamekuwa wavivu sana kusoma bible, hutokanayo nyumbani hadi kanisani ikiwa imefungwa, au ipo kwapani, hadi ukiingia...
Back
Top Bottom