Recent content by sadex

  1. sadex

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr naomba kujua dawa ya kukuza nywele kwa mtu mwenye early baldness 26yrs old jinsia me, yenye uwezo wa ku regrow hair kwa kichwa(kipara)
  2. sadex

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mate hubeba VVU hivyo kubusiana kunaweza kuwa chanzo cha maambukizi

    Tuko pamoja
  3. sadex

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mate hubeba VVU hivyo kubusiana kunaweza kuwa chanzo cha maambukizi

    Tuko pamoja
  4. sadex

    JamiiForums Tanzania KWELI Uvutaji wa sigara huongeza nafasi ya kupatwa na Changamoto ya Upungufu wa Nguvu za Kiume

    Jinsi ya kutibu kwa aliyeathirika na tatizo au uvutaji?????
  5. sadex

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hizo likes mbona sizioni
  6. sadex

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi Bora suluhisho la yote

    This is exactly true, Fantastic jesca
  7. sadex

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    TUNAHITAJI KITAMBULISHO CHA KISASA (SMART CARD) KIMOJA KWA MAENDELEO. UTANGULIZI, Kitambulisho, ni cheti ambacho kinakua na taarifa muhimu za mtu fulani. Taarifa hizi zinaweza kuwa za umri, jinsi, majina kamili n.k Katika nchi yetu ya Tanzania, watanzania wanavyo vitambulisho kulingana na...
  8. sadex

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    UKWELI SAHIHI KUHUSU AKILI YA JUU YA UMUNGU(GENIUS) NA JINSI SAYANSI YAKE YA KUFIKIA ILIVYO NYEPESI SANA KILA MTU ANAWEZA KUFIKIA. UTANGULIZI. Akili ya juu ya Umungu maana yake fupi ni Mtu kuwa na Uwezo wa kupata maarifa kutoka katika kiumbe ulimwengu (universe) ambayo yanaweza kuwa chachu...
  9. sadex

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Sio kubebelea vitambulisho vingi kama madeni ya walimu.
  10. sadex

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Tunahitaji kitambulisho kimoja ambacho kitakua smart card kitakachoweza kubeba 1 taarifa za msingi za mhusika(awali) 2 taarifa bank kwa wafanyakazi 3 taarifa za account kwa wasiowafanyakazi 4 taarifa za afya kama vile bima za afya zote ziwe ndani ya hicho kitambuisho 5 taarifa za kijamii kama...
  11. sadex

    JamiiForums Tanzania Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

    Hakuna kubwa kubwa au zinalingana by shape and size
  12. sadex

    JamiiForums Tanzania Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    Unaonekana mtaaalaam maaana umejifunza saikolojia ya kuandika uzi wa kuhamasisha .....
  13. sadex

    JamiiForums Tanzania Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

    Unatafuta vita ya mhutu na mtusi na machawa wataenda wap??
  14. sadex

    JamiiForums Tanzania Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

    Sio kizembe hivo man
  15. sadex

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Like
Back
Top Bottom