Chumvi ya mawe tia kwenye kopo iwache iyayuyuke then engeza kidogo mkononi ili ujisugulie kama sabuni alafu jimwagie huku ukijisemea kiroho kua unaondoa mikosi Na nuksi Fanya ndani ya sik 3
Mjomba hakuna alieko kwa ajili yko dunia hii we chamsingi pambana umiliki utawala wako ila chunga sana kwenye kutafuta wa kuanza nae familia ili kuepusha kuja kutesa watoto wako
Dogo umri wko bado sana kipindi nipo age yko nlikua nakesha kwenye PS usiku kutwa na kuenda viwanja na totoz kibao ila baada ya kupata umri wa umakamo akili ilipata mageuzi wenyewe Katika kujipambania ,,usiwe na stress ukaja ukaforce maisha alafu ukaishia pabaya chamsingi Fanya Kazi ndogondogo...
Dogo unajua ugumu unakuja pale unatengeza frame kwenye kitaa unachoishi alafu kila MTU anakushughudia process unazozipitia ,,,mie naamin apo inakua ngumu kufanya siri lazma watajua azma yko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.