Upimzike kwa amani mzee wangu dereva saibaba ndo ilikuwa michezo yetu hiyo tunashindilia mkaa wa uhakika manga/wami stand ubungo external kwa sista mnashusha mapema tu 12 mpaka 1 kasoro mshaua ndo ilikuwa utaratibu alafu michezo inachezeka mbele ya kituo cha police sista anawamaliza maisha...
Unachokieleza ni sahihi kumekuwa na mapenzi ktk kuchagua nani awe bingwa kwa jana choki vs tony
Walishindwa kufanya fear kama walivyoshindwa kumpata bingwa jana
Choki ngumi nyingi zilitua ktk gadi ya tony huku tony round nyingi akitawala mchezo ila ndo maamuzi ya majaji washaamua
Angalia...
Kipindi hiko hajaja mjini yupo kwao chukwani huko
Alafu huyo fei huyo ila fureshi kila mtu ashinde mechi zake
Kuna siku kaja maskani kuna mdada hayajui maswala ya mipira akaniuliza huyu mwenzenu vipi yupo sawa huyu
Kocha zagalo asa yule ndo alikuwa miyayusho kabisa kuna siku tunacheza na timu yake kipindi hiko anafanya mazoezi shekilango tukawafunga nakumbuka jamaa alikuwa anawapakata watoto wa kiume
Na kuna kipindi alikamatwa kabisa kwa kashfa hizo ila akatoka ndani ya week
Zagalo kila story akipiga...
Kwa maelezo ya mmoja wa machezaji wa hizi academy kubwa kuna viongozi kama wawili kwa nyakti tofauti walimfata dogo wakamwambia kama anataka kucheza timu ya wakubwa awaachie viongozi waishi nae then atapandishwa ktk viongozi hao mmoja choko mmoja bahasha
Tukamkaatalia aachane nao ila kuna...
Huenda tukawa tuna chuki kama wabara na wazanzibari lakini hatua kama hiyo ni uvunjifu mkubwa wa amani ktk nchi hii
Kampeni za ajabu kama hizo ni za kukemea kwa nguvu zote sisi ni wamoja siasa na wanasiasa wasifanye tukatoana roho na kulishana sumu za ajabu ajabu kama hizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.