Recent content by Sacsosanct

  1. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa stationery/supermarket/n.k

    Kuna kijana Ana degree ya mechanical engineering yupo tu nyumbani. Wa kiume, miaka 23. Kazi yoyote atafanya Imuingizie Kakipato kadogo akachukue vyeti vyake na kupata na mtaji pia. Umri miaka 23, yupo Dar. Kimara. Ni mwaminifu sana na anajituma. Kama unaweza msaidia Karibu na Asante!
  2. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot inauzwa Kiluvya! Bei ni Milioni 7.5

    Wapo ila sikutaka kuwaonyesha. Ukipata mtu anayelijua ilo eneo anaweza kuwa shahidi mzuri na akakutoa hofu.
  3. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot inauzwa Kiluvya! Bei ni Milioni 7.5

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 4km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 7.5 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu haina udalali! HATA KWA AWAMU UNARUHUSIWA KULIPA...
  4. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Kuondoa lamination kwenye vyeti

    Wakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kuondoa au sehemu wanayoondoa laminagion kwenye vyeti bila kuharibu ubora wake.
  5. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot nzuri inauzwa Kiluvya madukani

    Asante
  6. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot nzuri inauzwa Kiluvya madukani

    Ni yangu mkuu, hahaha
  7. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot inauzwa kwa dharula: Kama uko na hela hata nusu Njoo inbox!

    Upande wa kushoto ukiwa unaenda Kibaha. Contacts Njoo inbox tafadhali
  8. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot inauzwa kwa dharula: Kama uko na hela hata nusu Njoo inbox!

    Sqm400; Kiluvya, 3km from mainroad, msingi ni vyumba viwili+sebule+jiko. Hati ipo. Mil 7, pesa nusu inapokelewa.
  9. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa: kiluvya

    Ukubwa SQM 400 Msingi: tayari Umbali 2km kutoka barabarani Kimepimwa Full docs Kizuri Wahi! Bei! 8mil Njoo inbox:
  10. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot nzuri inauzwa Kiluvya madukani

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  11. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  12. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania TA interview:DUCE; anaejua structure

    Repeated thread: wakuu anayejua structure ya interview ya tutorial assistant mfano biology teaching methods kwa DUCE. Atujuze.
  13. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Hints za interview za TA DUCE/MUCE…bio/chem/phys

    Wakuu majibu hapa tafadhali
  14. Sacsosanct

    JamiiForums Tanzania Hints za interview za TA DUCE/MUCE…bio/chem/phys

    Wakuu salaam! Naomba kwa anaejua atanabaishe hints za interview za chemistry/biology/physics teaching methods kwa tutorial assistant interview kwa chuo kama DUCE. Uwa wanauliza nini zaidi? Je, wanauliza kuhusu teaching and leaning methods? Au wanajikita kwenye bio/chem/phys concepts? Mwenye idea...
Back
Top Bottom