Recent content by sabuni ya gesi

  1. S

    Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

    Osama bin Laden ndiye mtu aliyekuwa anatafutwa na USA kwa gharama yoyote, walipomuua Osama bin Laden hawakuwa na sababu ya kuendelea kutumia gharama. Taliban walikuwepo kabla na wameachwa waendelee na mambo yao, maadam Osama hayupo.
  2. S

    Hii ndio historia ya familia ya Sykes

    Kivipi Nyerere alitaka kusahaulisha watu kuhusu bibi Titi?
  3. S

    Hii ndio historia ya familia ya Sykes

    Hawa wazungu walikuwa wanakuita ili wakutumie vizuri kupotosha historia ya ukombozi wa Tanganyika. Maana ulishaonekana upo tayari kutumiwa. Wakawa wanakupa maelekezo nini cha kuandika
  4. S

    Hii ndio historia ya familia ya Sykes

    Sidhani kama ilikuwa inawezekana Wajerumani kuchukua askari kutoka koloni la Wareno Msumbiji au babu yako mmanyema kutoka koloni la wabelgiji kuja kuwasaidia kupigana Tanganyika , wakati kwenye hayo makoloni napo kulikuwa na vurugu. Kuna changa la macho unatupiga hapa.
  5. S

    Hii ndio historia ya familia ya Sykes

    Hii kwamba Nyerere alipokelewa na Abdul Sykes na akaikuta TANU, hapa umeamua kutumia kalamu yako vibaya kupindisha ukweli sababu ya chuki zako binafsi dhidi ya Nyerere. Unajipa kazi ngumu ambayo huwezi kubadili ukweli.
  6. S

    Huyu ndiye Mayele, MVP wa Mwaka huu

    Umejitahidi kumtetea huyo mmeo. Mayele. Endelea kulea mimba yako ya mapacha
  7. S

    Huyu ndiye Mayele, MVP wa Mwaka huu

    Ulitakiwa ujue ubora wa mchezaji ili kupata MVP unapimwa kwa kutumia takwimu za mchezaji kwenye NBC Premier league tu, hizo takwimu za kuwafunga ZALAN hazihusiki hapa. Pili unaposema Mayele aliamua matokeo pekee yake ni kuwakosea heshima wachezaji wengine waliotimiza majukumu yao na kuhakikisha...
  8. S

    Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Acha ubahiri, nenda kanunue Mchele mzuri. Kilo moja Tsh 5000/=.
  9. S

    Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

    Pumbavu zako. Hujui hata thamani ya kiwanja mjini. Unazungumzia kiduku chenu?
  10. S

    Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

    Wewe taahira kweli. Umaskini wako hadi kichwani, hujui gharama za kusoma unadhani ni laki tano .. Swaini
  11. S

    Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

    Wewe ni mpumbavu nambari one.. Nenda ukaolewe na Diarra uwe una safisha hicho kiatu. Swaini
Back
Top Bottom