Recent content by sabosabo

  1. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ni kafara tu

    Tuache kutafuta visingizio kwamba mnafanyiwa figisu na Simba,mpira hauchezwi chumbani,Yanga ukiangalia mechi zake haieleweki hata inacheza mfumo gani,tuwe wakweli timu haiko vizuri na Zahera hawezi kukwepa hizi lawama licha ya mapungufu ya uongozi pia,jaribu tu kuangalia pamoja na Simba kutolea...
  2. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya VPL, Simba SC dhidi ya Azam FC, desturi ya ushindi inaendelea

    Mimi pia namkubali sana Kakolanya,jamaa yupo vizuri, sema kocha anamuelewa sana Manula
  3. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya VPL, Simba SC dhidi ya Azam FC, desturi ya ushindi inaendelea

    Kila la kheri Simba
  4. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

    Huyu jamaa tabia za kuvujisha video/picha alianza muda tu kipindi yuko Mzumbe alishavujisha za dada fulani alikua anatoka naye akamlewesha demu kazima akampiga sana picha za uchi akazirusha chuo,kipindi hicho hakuna smart phone kwahiyo ulikua unawasha Bluetooth unarushiwa,ulikua msemo maarufu...
  5. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Kama Diamond anamuajiri Kitenge na Kumwembe basi jamaa wa pale Mawingu wajitazame upya

    Hivi unaelewa unachokiongea kweli?Diamond ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media,kwahiyo unachomaanisha 45% ni geresha tu kwamba kuna watu wananufaika zaidi?hivi kweli inaingia akilini kwa mtu aliyepambania wasafi mpaka imesimama kama brand kubwa halafu leo eti itumike kimkakati bila ya yeye...
  6. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Kama Diamond anamuajiri Kitenge na Kumwembe basi jamaa wa pale Mawingu wajitazame upya

    Acha uwongo,Diamond alivyopambana kuisimamisha Wasafi leo mtu aitumie kizembe bila yeye mwenyewe kunufaika,atakua mpumbavu basi,kwa mtu aliyeanzia chini kabisa tunamuona leo anamiliki 45% ya media house mnaona ni kitu kidogo?hebu tupunguze chuki kidogo,kijana amepambana.
  7. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

    Mbona huleti updates Mkuu
  8. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

    Ngapi ngapi hukoo?
  9. sabosabo

    JamiiForums Tanzania Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

    Kila la kheri Simba
  10. sabosabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahis mpenzi wangu ananifanya nikose michepuko

    Unajifanya humpendi unataka kuachana naye lakini tukikwambia tuma namba hutaki!
  11. sabosabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Nimeona niwaachie wenzangu hii nafasi!
  12. sabosabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Hahahaha Ntairudisha Shunie nimeona pia watu wengi wanaitumia sana! Halafu wengine wanafikiri mimi ndio Kigogo!
  13. sabosabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Sasa kama hajapata kwanini asiendelee kutafuta!
  14. sabosabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Mungu akutangulie Mkuu!
Back
Top Bottom