Recent content by sabasita

  1. sabasita

    JamiiForums Tanzania mwenye majibu tafadhali leo si ndio 21/09/2021

    inasaidia kupumbaza issue ya nigeria baada ya tarehe 25 tunataka update tena
  2. sabasita

    JamiiForums Tanzania Kashfa Wizara ya Afya na Yanga bado wanaija wanazuiliwa Bongo

    MNATARAJIA HAWA WAPOPO WAFANYE FAIR PLAY? HADI SENZO NA MSUKULE MZUNGU WATAPIGWA MARUNGU TUKO HAPA WAJINGA NYIE HAMNA AKILI MNAZUIA KEY PLAYERS WAO WEEK NZIMA MNATAKA WAO WE FAIR ...
  3. sabasita

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona katika mechi ya Yanga vs Rivers United

    KATIKA LIST ULIYOWEKA WACHEZAJI SABA WANENDA KUKUTWA NA COVID 19 NIGERIANS WAMEAHIDI HILO
  4. sabasita

    JamiiForums Tanzania Simba nyinyi ni Wetu kelele za nini?

    MTOANO HAUNA POINTS TATU ZINAANZIA MAKUNDI AMBAYO HAMNA UWEZO Wa KUFUKA MJIPANGE KUPATA TOP FOUR LIGI YA BONGO MSUBIRI SIMBA IHANGAIKE KUFIKA ROBO FAINALI HUKU MKIIPIGA VITA NA KWENDA KUPOKEA WAGENI AIRPORT
  5. sabasita

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na gazeti la Mwananchi kutoandika habari ya Polisi kuua majambazi Kibiti

    ila polisi wajitahidi basi wakiua hayo yanayoitwa majambazi watoe majina au picha mbona hayo majambazi yakiua tunaona picha au majina ya wahanga?
  6. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    yani wao ni mambo ya kisiasa wanaonanga viongozi na nyimbo za wasanii za nusu uchi ila haya ya upuuzi wa hawa wawekezaji hewa naona hayawahusu
  7. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    **** nini wewe?
  8. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    inaboa sana kama hapa nimebakiza vi mb vichache ,naishiwa kabisa kwa hasira nakumbuka hizo gb 3.6 walizoniibia 2 weeks ago inauma sana haswa ukizingatia hakuna hata chombo cha kusaidia consumers maana TCRA haya ya hawa jamaa ni kama hawayaoni
  9. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    hapana issue yangu ni kwamba nilijiunga jumapili nikaambiwa weekend pack inatakiwa ianze jumamosi so wakasema itafanya kazi next saturday sasa hadi leo imeshindikana na kurudisha hela wamekataa..issue ni ya kuanzia tarehe 25 june,kwenye simu kiukweli customer care wana lugha nzuri kweli lakini...
  10. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    ninazo tatu,sababu wao husema wanarekodi wateja kwa kuboresha huduma na mimi pia nilirekodi,ila kama sio dharau basi HALOTEL VAS wanahitaji msaada wa watu wanaoweza ku respond haraka na ku solve matatizo madogo kwenye computer sio kitu kidogo kuambiwa nenda ofisini kwetu sasa kama kama mzee...
  11. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    kifanyike nini sijui ila jamaa wana dharau sana,they are thieves in suits.
  12. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    kwa namna yote nityalifikisha hili suala mbali,nitajaribu pia kuwaandikia TCRA ingawa sote tunajua hawajali sana mambo haya maana wangekuwa wanajali hali ya upuuzi ya haya makampuni ya simu isingefikia hapa
  13. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    nalifikiria hilo,namcheki rafiki yangu kamaliza chuo mambo ya sheria(sijui kama ataruhusiwa ku practice,iama not sure) anisaidie nijitoe muhanga ili wengine wasije onewa tena,nitawafikisha mahakamani kwa ajili ya hiyo tshs 3,000 ushahidi ninao
  14. sabasita

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

    inauma sana Jose,uwezo wao kutatua tatizo ni mdogo sana,mtu anakuambia ndiyo tunaona hapa kwenye computer lakini nenda ofisi yetu iliyo karibu nikiangalia nauli ni sh 2,000. sasa si uniunge tu kifurushi kingine au urudishe 3,000 yangu wananiambia haiwezekani.
Back
Top Bottom