Recent content by sabari

  1. sabari

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Hiyo 3.5 kam Hiyo 3.5 kama nimeamua kujilipia mwenyewe chuo bila loan na Nina GPA ya 3 is it valid?
  2. sabari

    JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Kali sana hiyo tamthilia
  3. sabari

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatumtendei haki Vanessa Mdee

    mziki
  4. sabari

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatumtendei haki Vanessa Mdee

    sasa navy kenzo hiyo kamatia chini chorus peke yake ndo ya kiswahili ila verse zote zina lugha ngeni tu nafikiri ni melody kiukweli mziki hauna lugha pia kwa V money ni suala la wakati tu maana hata kina nahreel wana nyimbo nyingi hko nyuma
  5. sabari

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatumtendei haki Vanessa Mdee

    mziki hauna lugha jamaa
  6. sabari

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yagonga mwamba

    jamaa itafute "free weezy album" iliyotoka kupitia tidal imekua downloaded 10mil times humo ndani kuna nyimbo kama without you kaimba na bibi bourley na my heart races on ft Jake troth utaamini kua lil Wayne bado ana uwezo wa kuandika na kutoa a classic album
  7. sabari

    JamiiForums Tanzania Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

    to be honest hii nyimbo sio kali sema watu wamependa majina kutajwa mule ndani. beat sio nzuri, melody sio nzuri ila kajitahidi kidogo kuandika
  8. sabari

    JamiiForums Tanzania Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    ukijiongeza utafahamu kuwa rockstar ni moja ya kampuni mama za Sony pia alikiba sio msanii mdogo na hiyo deal ni globally soma kwenye source magazine wameandika hiyo issue kwa upande Wa alikiba mwenye mashabiki wengi east Africa hii itamsaidia sana ukiwa serious
  9. sabari

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba, The Greatest Faker Of All Times! Youth Take Notes How To Win Big In Life! (The Review)

    umeshindwa kutofautisha takeu na mchiriku kwenye "mdogomdogo" wewe hujui mziki jamaa
  10. sabari

    JamiiForums Tanzania SKENDO: Ndindindi kumbe ni wimbo wa mtu!

    lol Huyo dem ndo kafanya copy kwa ruhusa ya JD check kwenye IG ya jide
  11. sabari

    JamiiForums Tanzania Gusa Link Upakue Nyimbo Mpya

    Nyimbo ya Rap inaitwa #Skies pakua hapo chini na utoe maoni yako; www.audiomack.com/song/rapstarblaze/skies-og-open-your-eyes
  12. sabari

    JamiiForums Tanzania Vodacom Interview ya Sales Executive

    Habari! Juzi Mshkaji wangu alipata email ya Kwenda kufanya interview ya "Sales Executive" VODACOM Co. Mlimani. Lakini alipofika hakukuwa na interview cha kwanza na pili kulikuwa na maelezo ya kazi nyengine ya "sales agent" na sio executive kama ilivyoainishwa kwenye email watu wameambiwa tu...
  13. sabari

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

    Kennedy yupo vizuri
  14. sabari

    JamiiForums Tanzania Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

    uko nje ya mada jamaa
  15. sabari

    JamiiForums Tanzania Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

    idea sio yake na beat sio yake I was on blue sside lakini haya maelezo ya daxo na Marco yanamanisha nyimbo ni Mali ya mj recs
Back
Top Bottom