Recent content by sabanga sent

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa juu wa CHADEMA mna ubaguzi na upendeleo

    Ndugu wana JF, Iwa muda mrefu nimekuwa nikiona viongoz wa juu wa CHADEMA kama viongozi wandamizi na wabunge wakifanya ziara za kichama sehem mbalimbali, lakini kuna sehem au mikoa wanaenda zaidi ya mara tano kwa mwaka lakin mikoa mingine mara moja tu kwa mwaka hasa zile sehem ambazo hazina...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako

    jaman mim mtaimbo wang unasimama dakika chache na kusinyaa kwa muda mfupi tu, hata kama nina demu bado hali ni hiyo hiyo. jamani nisaidie hali hii inasababshwa na nini? na nifanye nini kuondoa hali hii?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi ateuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, achukua nafasi ya John Tendwa

    bora tendwa ametupwa nje maana alikuwa mzigo xana na mkandamizaji wa haki za binadamu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sitta: Kuna Wabunge mizigo CCM

    mbona naye ni mzigo hajielewi,ndo maana alipewa kawizara ka kuzugia nako kanamshinda. mwe shida tupu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tendwa aionya tena CHADEMA...

    tendwa anazeeka vibaya na pia anatumiwa na ccm
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natoa gari langu aina ya Surf na maisha yangu kwa M4C - Mawazo

    pongezi kubwa kamanda mpambanaji
  7. S

    JamiiForums Tanzania Heche aishukia serikali ya CCM, asema haikupaswa kuwa madarakan mpaka leo

    hizo ndo fikira chanya ambazo watanzania wanapaswa kuwa nazo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Pinda abanwa - wanaharakati kukusanya sahihi 10,000,000 kumshinikiza Pinda

    leteni huku huo waraka nidondoshe saini,maana amadai amechoka basi ang'oke madarakani.ama kweli ameandika historia nyingi pindaaaaa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoipigania CHADEMA ni wale wavivu wasiopenda kufanya kazi-Malibwa(udsm)

    utafiti wake ni wa kinafiki,kwan hajaeleza vitu kwa facts kuwa kwa nini haiwezekani kushusha bei za vitu. atakuwa anatumiwa na ccm ndo tatizo la wasomi wetu wanashindwa kueleza ukweli na uhalisia wa mambo,kazi yao kusifia uozo na upumbavu wa tabaka tawala tu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    hongera cdm ni dalili njema za ukombozi wa tanzania
  11. S

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    harakati za ukombozi wa tanzania zinaenda vizuri,kwa mafanikio yanayoonekana kwa upinzani ktk uchaguzi huu.ccm hali ni mbaya sana kwani tumechukua kata nyingi zilizokuwa chini yao. viva cdm
  12. S

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    udhalimu hauwezi kushinda haki hata siku moja.Mungu tusaidie
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA wanakamatwa Serengeti!

    hawa ccm wana lengo la kuiba kura kwa sababu wanajua hawakubaliki tena
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka,mbunge wa Simanjiro na Eng Chambiri,mbunge wa Babati 215 siombali sana na mtajuta

    kweli hawa wabunge hawafai kabisa kuwawakilisha wananchi tena awamu ijayo
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    ubabaishaji huu katka utawala wetu unapaswa kuondoshwa, hakuna sekta ambayo kuna unafuu wa mambo. watanzania tutafakari kwa undani kama watu hawa wanasifa ya kuwapa uongozi tena
Back
Top Bottom