Recent content by saba7

  1. S

    kwa wanaume wanaopenda kuvaa hereni

    Ina maana wanaume wa kimasai watakua......,sina hakika
  2. S

    Wanajeshi wetu msije kuwa kama huyu.

    Utata wa hii dunia uko hapa.Wakati wapo wengi watakaokuwa wanaomba na kufanya juhudi kuzuia matukio kama ya westgate,wapo ambao maombi yao ni kinyume....,jiulize jirani yako maombi yake siku za ibada ni yapi?
  3. S

    UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

    Mkuu Yeriko, kwanza niwasahahishe wale waliokupongeza kwa kuumiza kichwa kufanya utafiti huu.Mimi nakupongeza kwa kuumiza roho ndiko kilikopelekea kuandika thread hii. 'Utafiti' wako unaweza kujumishwa kwa maneno mafupi kuwa Idadi ya waislam ni kubwa kuliko wakiristo katika Tanzania lakini...
  4. S

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Ulifanikiwa kuacha ziwa la mama?,...au bado unanyonya?!!!!
  5. S

    Watangazaji/maripota hawa walipataje kazi?

    Hili ni janga kwa taifa letu.hatuhitaji matokeo ya mitihani kujua ubora wa elimu yetu.hii ni dalili iliyo wazi kabisa kuwa shule na vyuo vyetu ni "vijiwe" vya kukuzia umri.nahofia sana mustakbali wa taifa langu!
  6. S

    Mengine yaanikwa kampuni ya Bakhresa

    Nadhani ni bora wapimao urefu wa suruali kuliko wapimao na kutaka tizama unene na rangi ya paja!
  7. S

    Huu ni Ujasiri wa kijinga

    Nafikiri kozi(mafunzo) ya udhalilishaji yaliyokuwa yakitolewa na askari kwa raia yamefika tamati na wahitimu(raia) wapo tayari kutekeleza mafunzo waliopata kwa vitendo.
Back
Top Bottom