Sina uhakika kama akina Petro na Paul wanafanya kazi hapo.
Nimeangalia hayo majina kuanzia meneja mpaka wafanyakazi nimeshangaa kidogo!
Sina uhakika kama akina Petro na Paul wanafanya kazi hapo.
Sina uhakika kama akina Petro na Paul wanafanya kazi hapo.
Nimeangalia hayo majina kuanzia meneja mpaka wafanyakazi nimeshangaa kidogo!
... Ahaaa! Unaandikia mate, wakati wino upo!
... Marko, Jesca, Yohane, Grace, Mathayo, Elizabeth, Timotheo, Anna, Tito, Mary, n.k HAWANA NAFASI...
Hii ni kwa sababu mwajiri alikuwa anapata shida kutamka majina hayo!
...Ukienda kuomba kazi huko jitambulishe kwa majina ya kimashariki mashariki ya kati...., wala hakuna haja ya kuwa na vyeti vya Elimu yako' sana sana jitahidi kuvaa kivyao vyao...
Duh,
Bakhressa si ndio tajiri namba moja Tanzania? halafu anafanya haya mh kweli kuwa tajiri na kuingia peponi ni vitu viwili tofauti. Sasa kama mtu anadhulumiwa mafao yake si uonevu huu. Mafao ni haki ya kila mfanyakazi nchini. Kama ni kweli basi Bakhressa una la kusema kwa muumba kama ni uongo dhidi ya washindani wako pole sana.
Watanzania hawana nchi, Kagasheki amekwisha sema NCHI YOTE NI MALI YA RAIS kwa mujibu wa Katiba na CCM! Kama CCM ndo wanasema hivyo, wewe bado una ota una nchi! Watanzania ni sawa na wapangaji kwenye nyumba ya JK! Tutaonewa sana, Tutanyanyaswa sana, Tutanyonywa sana na Tutapuuzwa sana kama tukiendelea kutawaliwa na CCM!
kufanya kazi kwenye kampuni ya bakhressa kuna masharti kama ya kwenda mecca.
Ya nini hawa jamaa kulalamika sana ....? Wakati mahakama ya kazi ipo kwa ajili yao ...
Sifa ipi kaka?
... sawasawa na kampuni ya OILCOM
..........kwani kuna misa huko au mapepo ya kupunga !?
Ya utajiri alio nao