Recent content by saada mkelemi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

    Usiogope wala usifadhaike kila likuepukalo una kheri nalo, mshukuru Mungu huenda kuna kitu amekuepusha nacho, majaribu ni daraja la kwenda kwenye mafanikio, ww achana nae nenda zako chuo huko utakutana na watu wapya ndio utapata wako, huyo c mpango wa Mungu, tena hapo umepata somo ukipata dem...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mapenzi ya kweli, lakini sipati!

    Tena kuwa makini wenzako wamenyang'anya wake za watu, kuna jmaa namjua na usomi wake kachukua mke wa ndg yk tena alikuwa na watoto 3, na yy kazaa nae ni vituko cjawahi ona, !!!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ngono/mapenzi kabla ya Ndoa: Faida na Madhara yake...

    Nawapongeza wote mlliokubaliana na maneno ya Mungu,, ndio maana alisema wamacho lkn hawaoni, wanamasikio lkn hawasikii, hao ni udongo wanabishan na mfinyanzi, Yesu aliisema walio wng wananijua, tuzidi kuwaombea
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeachishwa kazi

    Soma yeremia 33:3, zbr 125, nenda knsn toa sadaka ya shukrani Mungu aingilie kati, usiogope wala usifadhaike, yohana 14: 1_6, kwa Mungu yote yanawezekana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

    Huyo mamvi wako mbona alienda tandale, na alipanda daladala, kwa nn asifanye hayo akiwa waziri mkuu? ikulu mtaisikia tuuu, subiri tar 25 ndio utajua kilichomtoa kanga manyoya
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Hapo chacha, watu wa mjini wako ki ushabiki zaid, hawatembei vijijini hawamjui lowasa, yeye. Anaishia mjini kwa washabiki tena inawezekana hy kadi za kupigaa kura hawanna
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ninavyo Mfahamu Janeth Magufuli

    Mmh mnayaweza
Back
Top Bottom