Recent content by saab113-360

  1. saab113-360

    Msaada mabasi ya kwenda Mwanza kutokea Dar

    panda Zuberi au Kisesa hutajutia yana uhakika wa safari , wanajali muda na ni salama kabisa.
  2. saab113-360

    Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    hapo kwenye andare G7 ni ipi mkuu? maana najua andare latest version ni G6 ,alafu marcopolo zilizokua zimeagizwa kutoka brazil ilikuaga scandnavia na royal tuu, hao kina hood abood, klm na dar exp wanachukulia SA ambao ndo wana assemble tuu kwa kutumia parts from china
  3. saab113-360

    Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    bado abood ana polo nyingi sana usiangalie alizouza ukitaka kuziona fika yard pia hesabu na zilizoko njiani ndo mana nakuambia new force hawez mziki wa abood ni mnene
  4. saab113-360

    Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    ni kampuni mbili tofauti zinazounda mabasi japokua zote ziko china
  5. saab113-360

    Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    abood na bm hawataweza kuathirika hata kidogo maana abood mpk sasa anagari za kichina zaidi ya 35 alianza kuagiza zile single zenye namba T***DBV zipo kama 18 akaletayutong terious mwaka jana za kichina 20 alafu bado ana marcopolo kama 16. Bm nae yupo njema ana gari za kutosha
  6. saab113-360

    Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    marcopolo ni body builder ilianzishwa brazil baadae nchi kama china na india wakaomba watengeneze under licence wakakubaliwa hizi marcopolo zote unazoziona bongo bodi zake zimeundwa china alafu wanapeleka south Africa ndo mteja atachagua iwekwe chasis ya scania au benz au volvo, zile marcopolo...
  7. saab113-360

    Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    new force ni wakala wa zhongtong tuu, ila ukitaka yutong unaweza kwenda kununua kwa wakala wao anaitwa benbros motors, au waweza agiza kutoka china moja kwa moja, kampuni kama shabiby na superfeo wanaagiza china moja kwa moja pia hata baadhi ya watu mmoja mmoja huagiza china
  8. saab113-360

    Nataka niende Moshi-Kilimanjaro wenyeji mnijuze

    angalia usiangukie kwa wamachame hautakua salama
  9. saab113-360

    Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

    we huna akili kabisa endelea kutafuta wenye ajira wakupande wakuchoke ubakie iddle alafu utakuja kuolewa na machinga badae
  10. saab113-360

    Baada ya kuishi Mtwara na kujifunza haya! Nimegundua mkoa wa Dar ni wanafiki sana

    Bima , magomeni, pacha ya mbae, shangani, mangoela, mangamba, mitengo, msijute, hiyari nk
  11. saab113-360

    Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

    heri upande bus na hiyo pikipiki waiweke kwenye buti ya basi gharama itakua 50,000 kwa usalama wako maana kuendesha pikipiki umbali mrefu sio vzr
  12. saab113-360

    Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

    kwa stlye yako hiyo ya mavazi ungepata mume mvuta bangi angekufaa sana
  13. saab113-360

    Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

    utafiti wako umeufanya kwa mikoa mingapi? na ulitumia sample ya watu wangapi? au ni mihemko imekupata?
Back
Top Bottom