Huyo anajizima data tu.
Kwani hadi HESLB walitoaga ufafaanuzi juu ya hii kero endelevu ya wanafunzi wa UDSM inamaana yeye hakuona malalamiko hayo tangu mwezi July/August?
Mbona kuna uhalisiaaa na tunaumia sisi lakini linapokuja suala kama hili badala mfuatiliee kwa kina bali mnatoa jibu la...
Yaani tatizo bado ni kubwa sana katika vyuo vyetu hasa UDSM na matawi yake,
Udsm main campus walituambia uongozi wa idara ya fedha unashughulikia pesa za refund tar 7 July 2023, kusudi likizo inapoanza tar 24 July basi pesa refund ziwe tayari, lakini mwishowe tunadanganywa kwa kupewa calenda za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.