Recent content by s007

  1. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Wagombea 9 wa CCM waenguliwa kwenye mchakato wa Serikali za Mitaa kwa kukosa sifa

    Huo ni usanii, walipewa vipi form za kugombea nafasi hizo katika mitaa ambayo haitambuliki? Msitufanye wote ni wajinga.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Amenena ukweli, ila habari kama hizi Bibi Chura Kiziwi na genge lake hawataki kuzisikia, chonde chonde Allah amuepushe Padre huyu na mabaya kutoka kwenye makucha ya genge hili dhalimu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa haya Mafuriko ya Rais Samia, hakuna Sababu ya kampeni Mwakani

    Hivi wodi za mirembe zimejaa?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyotongozwa na msichana Baa

    Hii habari ni ya hadithi isiyo na ukweli kwani Ina maelezo ya kufikirisha.
  5. S

    JamiiForums Tanzania The return of Makonda, GSM wanajisikiaje?

    Kwa ukubwa gani aliokuwanao huyo Bashite wa kumtisha GSM au Chadema?
  6. S

    JamiiForums Tanzania 2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Amesheshachelewa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sitamsaliti Hayati Magufuli hata niwekewe bastola

    Haishangazi, Team Magufuli
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika jijini Riyadh, Saudi Arabia

    Sema mama yako. Wengine kwetu huyu ni Bibi, ameshapita umri wa kumwita mama.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Mdude na Mwabukusi, yasema yanalenga kuhatarisha usalama

    Huo n utaratibu wa kawaida ili kuthibitisha kwamba taratibu zote sahihi zimefuatwa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Mpina hastahili kuwa mbunge, Uelewa wake ni mdogo sana

    Wizi ni wizi tu bila kujali umeiba kwa mafungu au kwa mkupuo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Kwani hao nao wana akili?
Back
Top Bottom