Recent content by s.massaun

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bodi mpya ya Wadhamini ya CUF yasajiliwa rasmi RITA

    BAMBA TO BAMBA Hii ni Zaidi ya Bodi mpya BODI HALALI YA CUF YAPOKEWA MAOMBI KWA RISITI NA 14995179 BAADA KULIPIWA NMB BANK Baada ya Kikao cha Baraza Kuu kufanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi hapo Jana, na Bodi yenyewe kufanya Kikao chake cha Kuchagua Viongozi wake, leo Viongozi wa Bodi hiyo...
  2. S

  3. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif kutua Arusha kesho kumtembelea Lema gerezani

    alishatangaza kujiunga chadema ,kinachosubiriwa ni kuchukua kadi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mhe. Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo kuhusu Mwenendo wa CUF

    Inaonekana cuf huijui....ishini kwa magazeti
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Usaliti unaitafuna CHADEMA, nikirudi watakwisha

    kaza buti prof lipumba... uturudishie heshima ya chama chetu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Usaliti unaitafuna CHADEMA, nikirudi watakwisha

    asante lipumba.... cuf itabaki kuwa cuf na chadema itabaki kuwa chadema..!!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Jeshi la Polisi na Prof. Lipumba wanashirikiana kuihujumu CUF

    hao vijana awapatie wapi?? wakati vijana wote wanamtii lipumba
  8. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Lipumba Siasa Yes, Maalim Seif Siasa No

    futailia vyombo vya habari vizuri na sio kulopoka...!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Professor Lipumba ukafanye Ukarabati Kijijini kwenu

    mwenyewe anajiona kaandika vitu vya mana kweli!!?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    Lipumba si malaya wa kisiasa.... Hapa ndio natambua kwa nn watu wanang'olewa kucha kwa makoleo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    Ndoto za mchana nouma sana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa CUF: Maswali haya anayeweza anijibu

    Lipumba ni mwanasiasa mkweli na mpenda haki ,kitu ambacho wanasiasa wengi hawana... Wanacuf wa tanganyika na baadhi kutoka visiwani wanalitambua hili ndio maana wanampenda na wanamtaka arudi ktk nafasi yake
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CUF Temeke watoa tamko juu ya Prof. Lipumba kurudi katika uongozi CUF

    Kwani umeambiwa hao wazee ccm
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CUF Temeke watoa tamko juu ya Prof. Lipumba kurudi katika uongozi CUF

    Tamko la jumuiya ya wazee CUF-Wilaya ya Temeke juu ya Prof. Lipumba kurudi katika uongozi. Mnamo 17/06/2016 kamati ya uogozi ya CUF taifa ilitoa tamko, iliyo ipa kichwa cha habari “kauli tata ya Prof. Lipumba kuhusu kurudi ktk nafasi yake ya uenyekiti wa taifa” baada ya kuipitia taarifa hiyo...
Back
Top Bottom