Polisi: Lipumba Siasa Yes, Maalim Seif Siasa No

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Hivi Polisi kabisa mnafikiri wafuasi wa Lipumba ndio wanaweza kufanya Vurugu kwenye mikutano ya Seif na wafuasi wa Seif hawawezi? Au nia yenu wapambane wao kwa wao?

CCM, Polisi Mungu anawaona mnachokifanya

Kama Lipumba mnamlinda kwenye mikutano yake na Seif mnamzuia hapo hata chizi anajua huu Mgogoro unatengenezwa na Serikali ya CCM.
 
Wengi tuliamini kwenye awamu hii ya tano hakutakuwa na mambo ya kipuuzi puuzi ya namna hii lakini wapi.
Ya awamu ya nne yanaweza kuwa hata na nafuu.
 
Hao watu wambieni waache siasa. Miaka zaidi ya 30 wanataka wao tu ndo waonekane??

Tubadilike na tuangalie namna ya kuendesha vyama vyetu.
 
Who told you they will take your views seriously? Mambo hayo mwachie mmoja tu ambaye anayaweza naye si mwingine bali Jehova. Hata wamlinde hadi chumbani iko siku Jehovah atasimamia enough is enough halafu that will be the end of the game. Akiamua Jehova mwenyewe hata Leo lisilowezekana kwenye ufahamu wa wanadamu litakuwa
 
Tatizo la huyu Jokolilo Pimbi Masifa anaacha mambo ya maana anachukua ya kijinga, wenzake wanaacha ya kijinga wanachukua ya maana, tusubiri mpaka maono yatimie
 
Agizo kutoka juu,lipimba ni Ccm kapandikizwa kuvuruga upinzani,the same na Moses Machali na Zitto
 
Hivi Polisi kabisa mnafikiri wafuasi wa Lipumba ndio wanaweza kufanya Vurugu kwenye mikutano ya Seif na wafuasi wa Seif hawawezi? Au nia yenu wapambane wao kwa wao?

CCM, Polisi Mungu anawaona mnachokifanya

Kama Lipumba mnamlinda kwenye mikutano yake na Seif mnamzuia hapo hata chizi anajua huu Mgogoro unatengenezwa na Serikali ya CCM.

futailia vyombo vya habari vizuri na sio kulopoka...!!!
 
Back
Top Bottom