Maalim Seif kutua Arusha Kesho.
Makamu wakwanza wa Rais Mstaafu Zanzibar na Katibu Mkuu wa Cuf Mhe.Maalim Seif atafika Arusha siku ya jumamosi saa 5:00 kamili asubuhi,atakapowasili Mhe.Maalim Seif atapokelewa na Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini na viongozi wa Chadema Mkoa wa Arusha,na siku ya Jumapili atakwenda kumtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema aliyepo Gereza Kuu Arusha