Recent content by ryumwe

  1. R

    Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Unasaidiwa bado unatunisha kichwa! Basi endelea kufuga maradhi
  2. R

    Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Tulia unaonekana una msongo wa mawazo! Muone daktari kwa msaada zaidi maana unakoelekea hali itakuwa mbaya sana.
  3. R

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Wee endelea kula ugali kwa dada yako yaani unataka wakupe soko kabisa
  4. R

    Ukweli mchungu ila msinitukane

    Wewe hukuwa na nia ya kujifunza ila ulikuwa unataka kupima uelewa wake kwenye kitu unachokijua tayari ili upate sababu ya kumuona mjinga!
  5. R

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Ubongo wa masikini siku zote uko hivo[emoji16] unatafuta sababu kwanini huwezi kufanya jambo fulani ili aendelee kujifariji kwenye lindi la umasiki[emoji3]
  6. R

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Hakuna mwanaume wa hivo labda ni upinde wenzako wanatafuta soko wewe umekaa kwa dada yako unasubili soko liletwe ndo uanze kulima[emoji16] hayo ni Mawazo ya masikini kufikiri hawezi kufanya jambo kwasababu sijui hakuna soko Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
  7. R

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Umasikini úmekujaa ndo maana upo kwenye porojo huku ukisimulia wengine waliochukua hatua na kufanya Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
  8. R

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Wee endelelea kula ugali wa bure kwa dada yako[emoji16] unasubili wakupe soko ndo ukalime Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
  9. R

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Hakuna kilimo kisichokuwa na changamoto, acha kukatisha watu tamaa!
  10. R

    RC Makonda: Baada ya kumuumbua Mbowe nimewaokoa wananchi wa Dar es Salaam

    Sasa yeye Makonda alijuaje kwamba ana corona bila kwenda hospital kupimwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    Nahitaji nguzo za umeme fasta

    Unaitaji kiasi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    Ripoti ya CAG 2017/2018: Mwanachama CHADEMA ajimilikisha gari la Chama lililonunuliwa kwa Sh Milioni 147.5

    Sema na mabilioni ya ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  13. R

    Pata Kiwanja bei sawa na bure

    Million nne vyote Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    Tufute mfumo wa vyama vingi

    Wambie hao ccm wenzako waache mchezo huo sio kubadili katiba kisa upuuzi wa hicho chama chako
Back
Top Bottom