HEKIMA ninayowaombea viongozi wetu ni ile Mtume Yakobo anayoelezea kuwa hutoka kwa Mwenyezi Mungu, nayo ni ile iliyo safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki.
Ndugu yangu nakusihi utafute huo muda kama unaamini ktk maombi/sala kwani uongozi mzuri unakutengenezea mazingira mazuri ya kufanikisha mambo yako na uongozi mbaya unajenga mazingira ya kukukwamisha
Viongozi wetu wamekuwa wakituasa tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu. Tatizo hawatuelezi tuwaombee wapate kitu gani. Mimi napendekeza tuwaombee kuwa na HEKIMA.
Biblia inatueleza kwamba Mwenyezi Mungu alimpatia Mfalme Suleimani fursa ya kuomba chochote. Mfalme Suleimani aliomba apatiwe HEKIMA. Ombi...
Sioni kosa kwa upinzani kuibuka na ajenda ya udikteta kama wanaona kuna viashiria vya udikteta. Kuna virusi vingi vinavyoweza kushambulia taifa na kulifanya dhaifu, ikiwa ni pamoja na ufisadi na udikteta. Kwa anayejua athari za udikteta hawezi kuushabikia. Kunyima uhuru wa mawazo ni kuzalisha...
Mwaka 2004/5 serikali ya Tanzania, iliasisi Mkakati wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA) lengo likiwa ni kuwezesha wananchi wanyonge kutumia raslimali na biashara zilizorasmishwa kupata mikopo kutoka benki na taasisi nyingine za kifedha. Kwa bahati mbaya, hali halisi...
MADIKTETA NA UZALENDO BANDIA
Mara nyingi madikteta hujinasibu kuwa na mapenzi makubwa kwa mataifa wanayoyaongoza. Hata hivyo, ukichunguza kwa undani utagundua kuwa mapenzi wanayokuwa nayo huwa ni yamejaa ubinafsi kwa kupenda kuridhisha nafsi zao pasipo kujali umuhimu wa watu wengine. Wao ndio...
Kwa uelewa wangu, Udikteta ni aina ya utawala wenye tabia zifuatazo:
· Maamuzi na uendeshaji wa mambo ambao hayatokani na utashi wa wananchi kwa mujibu wa katiba na sheria bali hutokana na matakwa ya mtu mmoja.
· Kugandamiza uhuru wa watu kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari, vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.