Hivi Mnao beza matokeo ya ufaulu wa shule binafsi na za serikali mnawaza nini serikari inabeba wanafunzi wote wa uelewa wa mwisho kati n.k shule binafsi wanachuja wanachukua bright tu kuna shule mwanao ili ajiunge lazima afanye mtihani na afaulu 90 and above kama tunataka ushindani fare wizara I...
Aliyeufanya urais kuwa mwepesi ni nani? au ni ktk hawamu hipi? Imekuwa kwaida now watu kutabilia watu kugombea urais au baadhi ya watu kujipambanua kugombea urais.
Kama Taifa tunataka kufika mbali au kupiga hatua tuione hii nafasi inahitaji MTU mwenye maono uthubutu confidence, competent...
KESI YA CHADEMA ITATUSAIDIA KUJUA IWAPO MGONJWA ALIYELAZWA HOSPITALI ANAWEZA KUTOKA NA KUFANYA ZIARA BARA MOJA HADI JINGINE KISHA AKAREJEA HOSP:
Imethibitika pasina shaka kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kinakusudia kufungua kesi Mahakama kuu ikiwa ni hatua ya kupinga mbunge...
Hii ni poul Makonda not RC against wizara ya fedha sio mamlaka mbili za uteuzi kulumbana ni mamlaka v/s mtu binafsi ambaye alishapewa utaratibu lkn hajafata
Sent using Jamii Forums mobile app
Maprofesa wa Chuo Kikuu cha Coventry nchini Uingereza, wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Irene Glendinning, pamoja na Ukumbi mzima, ulizizima wakati jina la Mtanzania aitwaye Dk. John Pima lilipotajwa wakati wa Mahafali ya wahitimu wa Kozi ya Uzamivu wapatao 11 waliotoka katika Mataifa tisa duniani...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.