Jina la Magufuli labamba Uingereza: Ukumbi mzima wa Chuo Kikuu cha Coventry wazizima baada ya kusoma jina la muhitimu kutoka Tanzania.

View attachment 842429
Maprofesa wa Chuo Kikuu cha Coventry nchini Uingereza, wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Irene Glendinning, pamoja na Ukumbi mzima, ulizizima wakati jina la Mtanzania aitwaye Dk. John Pima lilipotajwa wakati wa Mahafali ya wahitimu wa Kozi ya Uzamivu wapatao 11 waliotoka katika Mataifa tisa duniani.
Dk. Pima ambaye alikuwa shuhuda, alieleza kuwa, baada ya jina lake kusomwa ili aende mbele kutunukiwa shahada ya Uzamivu, walipotaja tu John Pima from Tanzania, shangwe ziliibuka wakitaja Magufuli .... Magufuli ... Magufuli ... Tanzania."
Dk. Pima alieleza kuwa, baada ya mahafali, maprofesa na wahitimu wenzake walimfuata na kumuulizia habari za Rais Magufuli wanazosikia kwenye vyombo vya habari wakitaka kujua ni mtu wa namna gani? Wengi walipongeza kasi na msimamo wake wa:
  • kukusanya mapato,
  • kudhibiti matumizi ya fedha za umma,
  • kushughulikia mafisadi,
  • ununuzi wa ndege,
  • upanuzi wa bandari
  • ujenzi wa barabara za juu
  • uanzishwaji wa viwanda.
Walidai Nchi nyingi za kiafrika zina rasilimali nyingi lakini Viongozi wao hawana uthubutu wa kufanya maamuzi magumu na hawana maono kama ya Rais Magufuli, na kwamba hawatambui kuwa kama wanaweza kujiletea maendeleo pasipo kutegemea misaada kutoka mataifa makubwa.

View attachment 842223
Ununuzi wa ndege na ujenzi wa barabara za juu! Haiwezekani, Mbona hivyo vipo kwenye nchi nyingi za kiafrika.
 
Ukikua utajua ukweli. Wako waafrika wengi tu wenye fikra kama zako "Mzungu anawapenda waafrika". Ndiyo maana hivi leo kuna mabango yamekwenda mbali zaidi yameandikwa " KWA UKARIMU WA WATU WA MAREKANI" wamarekani wamekuwa sio tu wahisani bali ni ndugu, kaka na dada zetu.
 
Wewe unayewajua wazungu nina uhakika wakikuuliza tu neno maana ya mzungu ni nini hujui, halafu unataka unifundishe mimi? Ongelea mengine ndugu tangu but kwenye IR nipo nje a haswa. Anyway, nina-doubt kama unanielewa ninachomaanisha.
 
Ununuzi wa ndege na ujenzi wa barabara za juu! Haiwezekani, Mbona hivyo vipo kwenye nchi nyingi za kiafrika.
Yes vipo katika Nchi nyingi, sasa ndugu angeacha kuvitaja ungetegemea angetaja kipi ambacho hakijawahi kutekelezwa hapa Afrika? Kwa nini tusione katika ujumla wake kuwa amefanya recommendable job?
 
Nimetoka huko Google kutafuta

John Pima+Magufuli+Coventry University.

Hebu jaribu na wewe
 
Maprofesa wa Chuo Kikuu cha Coventry nchini Uingereza, wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Irene Glendinning, pamoja na Ukumbi mzima, ulizizima wakati jina la Mtanzania aitwaye Dk. John Pima lilipotajwa wakati wa Mahafali ya wahitimu wa Kozi ya Uzamivu wapatao 11 waliotoka katika Mataifa tisa duniani.
Dk. Pima ambaye alikuwa shuhuda, alieleza kuwa, baada ya jina lake kusomwa ili aende mbele kutunukiwa shahada ya Uzamivu, walipotaja tu John Pima from Tanzania, shangwe ziliibuka wakitaja Magufuli .... Magufuli ... Magufuli ... Tanzania."
Dk. Pima alieleza kuwa, baada ya mahafali, maprofesa na wahitimu wenzake walimfuata na kumuulizia habari za Rais Magufuli wanazosikia kwenye vyombo vya habari wakitaka kujua ni mtu wa namna gani? Wengi walipongeza kasi na msimamo wake wa:

* kukusanya mapato,
* kudhibiti matumizi ya fedha za umma,
* kushughulikia mafisadi,
* ununuzi wa ndege,
* upanuzi wa bandari
* ujenzi wa barabara za juu
* uanzishwaji wa viwanda.

Walidai Nchi nyingi za kiafrika zina rasilimali nyingi lakini Viongozi wao hawana uthubutu wa kufanya maamuzi magumu na hawana maono kama ya Rais Magufuli, na kwamba hawatambui kuwa kama wanaweza kujiletea maendeleo pasipo kutegemea misaada kutoka mataifa makubwa.
IMG-20180821-WA0008.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa mwakani kazi anayo ajipange kua katibu mkuu, mkurugenzi nk.
 
Back
Top Bottom