Recent content by Ruty

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo Jamani wana Elimu

    sasa wakuu mdogo wang ana D 3 ya eng,geo na civ ana C 1 ya histry na B ya kisw mi namshauri arudie ili apate crdt ya kumwezesha kufanya mtihan wa six,ushauri wenu pls.
  2. R

    JamiiForums Tanzania tathmini ya matokeo mapya ya form 4

    huyo ndo ukwel kakaangu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania tathmini ya matokeo mapya ya form 4

    ukwel matokeo hayajabadilika popote mi cjui kulikuwa na haja gani ya kuganga tena,imeniuma mdogo wang aliresit akapata c moja na d mbili japo alikuwa anatafuta c mbili ajab kimekuja litu kilekile,cjui ni kwa nin serikal inatupotezea muda bure...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    thank you,jamani kanufebu umetishaaaaaaa!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

    eeeeeh kaazi kwelikweli, okay! tusubiri one na two za kutosha chezea serikal wewe.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

    Hakuna cha kututoa kwenye haya majanga ya ufisadi kwa kutetea kila uchafu unaofanywa na serikal ya maccm, ni kwa nin usiitumikishe akil yako ili utambue ni kitu gani umetendewa na serikal hii kama c kuibiwa kila kukicha! Oooooh mungu wang ningepata muda mchache wa kuongea nawe ningeomba...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

    watu wengine cjui ni nani atawafumbua macho???? jamani kusoma hujui hata picha huon? ccm wameoza fullstop.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    jaman tuombe mwenyez mung atuepushe na maovu haya,waislam wakristo wote tu binadamu tupendane.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

    jaman ckuwa karbu,ni kwel wametengua matokeo ya kidato cha nne 2012?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tembo waliouawa Rombo wana uhusiano wowote na Kinana?

    Ni muusika kwa asilimia mia 7 kwan kuna jangili zaidi ya kinana? ooooooh atakuwa mtetez wake sijui ni Nc................malizia.
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.

    WOw!pasco unaakili wew yaan uko sawa kabisaaaaaa hawa ndg wanakosa ucngz kwa majembe ya cdm,wapumzishwe akil kdogo,pole sana usie elewa,magamba mtaielewa tu picha.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya Mei Mosi - Mbeya

    Umeona eeee yan cjui hao walionyeshewa mvua walikuwa wanasubir nin,yan ni utumbo mtupu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya Mei Mosi - Mbeya

    Ni aibu hata kuckiliza hiyo hotuba kwan kaacha kuzungumzia mada husika analeta porojo.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

    kaka ni kwa kwamba haitokuwepo kabisaaaaaaaaaaaa
  15. R

    JamiiForums Tanzania hellow am new

    Asante sana!
Back
Top Bottom