Recent content by ruthkami

  1. R

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Huyo ni mtumishi wa Mungu wanaowaibia rasilimali zenu hamuwaoni na mko nao huyu ni mgeni hapa tz.amewabana nini?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ccm: Hii kata kata ya umeme dar, mnazidi kujifunga goli la kisigino.

    Hata geita ndo kazi ya kukatakata kama kumi hivi na ni giza jumla!
  3. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jibuni hizi shutuma tuwaelewe kama wanamabadiliko wa kweli

    Rudi unamtishia nani?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Boring story!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Happening now: CCM wazomewa Dar

    Wastaarabu kama nape na bulembo!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    Huku geita walisomba watu kutoka wilaya zote ili kujaza uwanja ni hatari
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Na mimi
  8. R

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Naunga mkono hoja
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: CCM hainunuliki, vile vile Watanzania wengi hawanunuliki

    Huku geita mwimbaji wa wanawake na maendeleo aligawa baiskeli zaidi ya 200 ili achaguliwe kura za maoni.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Aiseeeeeeee!huyu presidaa ana matatizo
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mapokezi ya Lowassa Airports akiwa CCM na akiwa CHADEMA

    Hao mnaotusema wa ajabu ndo hicho chama cha cc kimetufikisha halafu nawashaangaa kutuita wa ajabu wote ni binadamu sidhani hao wakubwa wanakunya kwa kutumia mdomo au?
Back
Top Bottom