Recent content by ruther

  1. R

    Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

    tatizo liko hapo, kwanini hizi fedha zilichanganywa?
  2. R

    Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    Katika vitu alivyotuachia nyerere na kufanya kazi yake kwa ufanisi kila kukicha ni jwtz. Tunajivunia kwa hilo. Baada ya congo , natamani kagame achokoze kidogo 2, ili amepigwe kwa upande wa east na west mpaka achanyikiwe. Nahofia uchumi wetu 2 kuyumba kama ya 1978!
  3. R

    SADC vs EAC

    Navutiwa zaid na sadc, ina maono ya nguvu na hutekelezwa kwa mpangilio. Kila nchi kuheshimiana ndiyo nguzo.
  4. R

    Nafikiria Kugombea Urais Naomba Ushauri Wenu

    Rais w smz awe gavana! Ni ndoto! Labda wa tanganyika!
  5. R

    Burundi nao waitosa Tanzania!

    tz hatuna woga wowote, kuwa makini katika kulinda maslahi yetu ya kitaifa ndiyo kunawauma na kuruka na hasira hiyo kwani walichotegemea wanaona kinachelewa.
Back
Top Bottom