kama ni kweli,, hawa viongozi ,,zito na lissu ,,watakuwa ni watu wa siasa za maji taka! wanatakiwa kuzungumzia hoja za kuipeleka mbele nchi na sio mshahara wa mtu mmoja, rais, mshahara wa rais hauna impact kwa nchi...waongelee mambo ya msingi..ya kukwamua nchi kwenda mbele...vitu kama prons and...