Recent content by Rutayuga91

  1. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    For wearing the badge, they are the choosen whites.
  2. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Naona hatari mbele, gari lipo mwendo wa kasi

    Mtoa mada anahisi break zimekatika. Lakini huenda ikawa siyo bali ni fujo tu za dereva. Hata hivyo, kama wahusika wakijua wanaweza hata kutoa taarifa kwa askari wa usalama barabarani wakajua cha kufanya. BTW. Mtoa mada mnaendeleaje?!
  3. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Naona hatari mbele, gari lipo mwendo wa kasi

    Mko sehemu gani mkui?!! Toa taarifa kwa SUMATRA haraka ili hilo swala lisgughulikiwe!!
  4. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania MANYARA: Mnyeti awapiga marufuku Wakuu wa Wilaya kushirikiana na madiwani wa CHADEMA

    Maskini Tanzania!!? Hawa ndio viongozi wetu. Badala ya kuhubiri umoja yeye anadhihirisha ubaguzi waziwazi!! Kwa hali hii, maendeleo tutayasikia kwenye bomba...
  5. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Mara Paaaah!!, nimemkuta mke wa rafiki yangu mtandao wa Tagged

    Tagged... Ni Tagged au siyo.... Eenh!! Ipo PlayStore si ndio?!! Ok!!!
  6. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnashindwa kuwafanyia watoto wa kambo kama mnayowafanyia watoto wenu wa kuwazaa?

    Inapendeza zaidi ikiwa hivi. Ila tatizo hawa vima sijui wanatoa wapi utaalam wa kudhibit vidume vyao. Unakuta jibaba likiwa home uanamme uko wakati wa tendo tu.
  7. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Alichokilalamikia Luther katika maandishi yake hayana tofauti na yanayojitokeza Catholic leo. Tena Catholic ya Tanzania.
  8. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Bro unapoandika hivyo ulishapitia 95 theses za Luther?! Naomba kujua, kwani usipochangia kwa Lutheran wanakutenga?!
  9. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Haya ndiyo mambo aliyoyakataa Martin Luther. Dini imekuwa fedha kwa kwenda mbele, hata huduma muhimu unaweza ukakosa kama hujatoa hiyo michango.
  10. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Kwa dhati kabisa nakiri kwamba naichukia Marekani kwa moyo wangu wote!

    Ili umchukie vizuri, tupa kila kitu cha keteknolojia ambacho tafiti za kimarekani zimechangia kuundwa kwake. Umetulia kwenye internet waliyounda wao kisha kelele nyiiingi eti unamchukia. What a shithole are you, Idiot.
  11. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Mkuu hapa Tz mambo ni ki-film tu. Hiyo episode ya kwanza imeishia hapo. Tusibir episode ya 2.
  12. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Waliobaki wanapiga teke na mabakuli kabisa.
  13. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

    Usije ukajikuta na wewe unashirikishwa kwenye story.
  14. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Polepole apingana na tamko la Serikali, asema viongozi wa dini waongee siasa

    Na ahojiwe uraia wake... Nina mashaka.
  15. Rutayuga91

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inakwamisha EAC?

    Bado tunatofauti kubwa kimfumo, mfano umiliki wa ardhi ampapo Tz ni mali ya Rais na kwa wenzetu kila mtu na chake. Ili kufikia muungano, tungeachia madaraka ya baadhi ya rasilimali ziwe chini ya states (sijapata kiswahili chake). Ninamaanisha kwamba. Tuwe na Federation of East Africa. Kila...
Back
Top Bottom