Recent content by RUTATINA

  1. R

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Si halali kwa TANZANIA kuwa na sheria za kidini kwani serikali haina dini. Lazima tufililie mbali, je na wakristu wakiibua madai yao itakuwaje?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimeichangia CHADEMA wewe je?

    CHADEMA ni mpango wa Mungu! nitachangia tarehe kumi, mwezi huu! jamani tukichangie chadema, ukombozi unakaribia!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Butiku atema nyongo asema CCM inafuga majambazi, majangili na mafisadi

    Ee Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema, Mwongezee Siku Za Maisha Ya Hapa Duniani Huyu Mzee Wetu Ili Aweze Kuona Mabadiliko Na Kushuhudia Anguko La Ccm! Amina
  4. R

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Ya UKAWA; Nina Maoni Yangu Nayaweka Jamvini...

    UKAWA wamepiga hatua ambayo kila mtanzania anayeitakia mema Tanzania Lazima Aunge Mkono Maamzi Haya. Hata Hivyo Ndo Maana Hoja Kama Hii Ya Mjengwa Inaibuka! Vibaraka Wa Ccm Wamechanganyikiwa Wakiwaza Watafanya Nini Utengua Msimamo Wa Wapinzani! Tutasikia Mengi, Ila Ukawa Ndo Habari Yenye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    NI majanga matupu!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tourcher and suffering at St Joseph Songea

    My members of jf I'm here by to let you know how students at St Joseph Songea center are living. Generally the relationship between students and college administration has turned fight. Students fund for second batch have never been known when and how to be obtained. In other colleges and...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hali yaendelea kuwa mbaya st joseph songea!!

    Ndugu wa na jf hili life chip la Wahindi ni shida Tupi. Had I sasa wanachuo hawajapata fedha ya kujikimu awamu ya pili. Si hilo tu, mambo kibao kama vile kuchakata matokeo ya wachuo kinyume na yalivyo tolewa na main campus, kutumia wakufunzi wasio na uwezo wa kufundisha wote wahindi. Wameshindwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Utambulisho to jf members

    Naomba nipokelewe kwenye janvi maana nilikuwa msomaji si mchangiaji. Najisikia furaha na amani!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la mawaziri

    The threat is out of discussion otherwise think other Important developing discussion!!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    More updates pls!! We are interesting to know all about this issue.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    SAA kumi ndo hii tunaomba lichojiri mahakamani na kuhusu msimamo wa chadema kuhusu kikao cha kamati kuu!!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Hawa wamaomba mtima taarifa alinganishe taarifa ndo wanaolalia upande wa Zzk. Naona wana hofu ya kinachoendelea hats kabla ya Jaji kuhitimisha.
Back
Top Bottom