Recent content by rutajwah

  1. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    yes
  2. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    peleka kwa mkurugenzi wa wilaya yako kwenye kata/mtaa unafata barua ya uthibitisho.. vile vile angalia kama halmashauri yako ipo kwenye orodha. maana wameanza na mikoa miwili kila mkoa halmashauri mbili
  3. rutajwah

    JamiiForums Tanzania High income skills kwa mazingira ya nchi yangu Tanzania

    fanya programming mkuu... choose one tech stack and die with it e.g backend development, front end development or data join tech communities... attent tech meetups zoote utakutakana na wakali kibao.... pesa itakuja ukishakuwa na skills za kutosha...
  4. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

    mkuu hadi black seed oil inafaa kwa bawasiri?
  5. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

    mkuu m nimeambiwa nitafute na lile exoskeleton la konokono nisange unga wake nichanganye na castrol oil...... halafu nipake
  6. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

    mkuu ulikuwa na ya nje au ndani... maana ya ndani ndo issue inayowasumbua watu wengi... Yaani dude linatoka wakati wa haja na maumivu makali... muda mwingine na damu kabisa.... baadae wengine linarudi na wengine halirudi..
  7. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

    vipi na nguvu za kiume zilirudi? maana bawasiri inasepa na nguvu za kiume
  8. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

    dosage ipoje ya habat soda? kupaka au kunywa? ni najua mafuta ya mbono / castrol oil
  9. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Dawa kutibu bawasiri

    mimi nlienda kwenye famasi nkaambiwa bawasili inaweza kutibika kwa vidonge vinaitwa sitcom tablet nliambiwa nameza kimoja asubuhi kimoja jion kwa wiki mbili. bei nliambiwa ni 56000/= . Hiyo hela sikuwa nayo so sikununua. KWA mwenye hela ajaribu hvo vidonge halafu alete mrejesho Vile vile kuna...
  10. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mafuta ya habat soda pamoja na miujiza yake

    Vp kuhusu bawasiri nayo yanatibu?
  11. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa, Writing sample ni nini kwenye job application?

    Watumie za link za kwenye medium... Topic ni yeyote.... Wanataka waone tu how you write.
  12. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa, Writing sample ni nini kwenye job application?

    dah.... mkuu unaomba kazi ya research assistant huna sample yoyote ya kazi? Kiufupi kazi za research zinahusisha sana uandishi wa report kitechinakali ya Technical Writing. Hivo ili waone kama unaweza kuandika lazima uonyeshe sample ya kazi uliyoandika mfano... Report and artilcles.. Andaa...
  13. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Kujifunza programming bila kwenda chuo

    Wakati niko Chuo ten years back nkisoma Compter Engineering kuna dogo alikuja anajua madude na macode yooote.... So unahisi alikuwa ashagraduate Chuo halafu aka rudi tena kusoma? No... Alikuwa ni self taugh tayari... nahisi chuo alikuja kukua tu...
  14. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wanaosubiria ajira za afya ngazi ya jamii

    Updates: https://www.youtube.com/watch?v=AYluQRL5SoE
  15. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wanaosubiria ajira za afya ngazi ya jamii

    Source : https://www.jamiiforums.com/threads/serikali-imetenga-jumla-ya-tsh-bilioni-899-4-kwa-ajili-ya-kutekeleza-mpango-wa-kuajiri-na-kuwajengea-uwezo-wahudumu-wa-afya.2182340/
Back
Top Bottom