Recent content by Rusky

  1. R

    Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

    Yuko na haki ya kudai Talaka. Katika Uislam hata Mke anayo haki ya kutoa Talaka
  2. R

    Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

    Okay nimefanikiwa kuipata lakini tatizo bado ufungaji........ Ahsante sana kaka
  3. R

    Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

    Niko Dar au hata Zenj ni mwenyeji
  4. R

    Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

    Ni kweli Kaka.....nimeweka ili kupunguza masuala
  5. R

    Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

    Salaam Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail. Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual Natanguliza shukran
  6. R

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Mtoto wa nje ya ndoa kwa uislam anarithiwa na mama na ndugu zake wa mama mmoja, waliobakia mpaka aache usia
  7. R

  8. R

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Ukisikiliza hii interview za Queendalin utafahamu kuna shida pahali ama anatumika kumuharibia mwanawe kwa hasira zao wazazi au kuna kitu hakifahamiki na media sijui zinakwama wapi kumfanyia mahojiano mama dangote.
  9. R

    Tha PLATINUMZ family show

    Huyo Mzee nilichoka pale aliposema walikua wanavaa condom nikajua hamna kitu. Niwazi mtoto sio wake. Jengine sioni sababu ya mtoto kumgombania sana wakati hakua ameoa. Kuna wakati nahisi km huyu Mzee alitumika na maadui wa Diamond kwa muda mrefu ukifuatilia Queendalin interview aliofanya na...
  10. R

    Tha PLATINUMZ family show

    the revealation of fact
  11. R

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Huyo Mzee nilichoka pale aliposema walikua wanavaa condom nikajua hamna kitu. Niwazi mtoto sio wake. Jengine sioni sababu ya mtoto kumgombania sana wakati hakua ameoa. Kuna wakati nahisi km huyu Mzee alitumika na maadui wa Diamond kwa muda mrefu ukifuatilia Queendalin interview aliofanya na...
  12. R

    Tha PLATINUMZ family show

    Hii family ilikosa kiongozi mwanzoni kabisa na huyu Diamond kitu kinachomsaidia ni kuwa watu waliomzunguka ndio wanamuweka sawa na kumtuliza. Tunaweza kusimamia ule usemi "...........anafunzwa na ulimwengu" Jengine ni ukosefu wa elimu na exposure ambalo wengi wa TZ wanalo hata hao wanaotukana...
  13. R

    Mimi ni mkristo na mpenzi wangu ni muislam na tunataka kuoana ila ndugu zake hawataki

    kwa Ushauri wangu kwako kabla ya kufanya maamuzi ni vyema kwanza ukatumia muda kuusoma huo Uislamu ukauelewa kiundani. Ili usibakie dini yako ipo kwa ajili ya mw'ke tu. Ndani ya Uislam hata mw'ke anauwezo wakutoa Talaka ili usije ukayumba hili lazima ulijue. Rafiki yangu alijipa break kwanza...
  14. R

    Nahitaji simu yenye RAM 8GB ni ipi nzuri zaidi?

    One Plus 5T na kuendelea
Back
Top Bottom