Nahitaji simu yenye RAM 8GB ni ipi nzuri zaidi?

Shida ya kukalili na kuabudu watu ndo hiyo. Kumbe ndo maana Matajiri hudharau masikin na watu wasiokua na ufahamu.
Pumbavu kabisa! kwahyo asipokuja kucoment huyo baba ako majibu hayawez kupatikana!?
Ndo shida ya akili za kimasikin, kukalili kushindwa kila siku!
Sidhani Kama hii comment ilikuwa na mashiko sana. Unless kama ulikuwa unataka kumtukana tu mchangia mada ingawa nae aliteleza kidogo. Hili jukwaa linaheshimiwa kwa hoja.
Am sure ungeweza kufanya tofauti zaidi ya hii bro.
 
Baada ya hayo ulipaswa kumpa ushauri wa kitaalam km alivyoomba
 
Sidhani Kama hii comment ilikuwa na mashiko sana. Unless kama ulikuwa unataka kumtukana tu mchangia mada ingawa nae aliteleza kidogo. Hili jukwaa linaheshimiwa kwa hoja.
Am sure ungeweza kufanya tofauti zaidi ya hii bro.
Mkuu, kuna watu hupenda kupiga vijembe kwahyo kuwakopesha sio dili.
 
Back
Top Bottom