Recent content by rushasha

  1. R

    JamiiForums Tanzania Genocide Survivors Give UK Judicial Test

    UPUUZI ...Wajinga tu hawa, genocide walianzisha wao wenyewe; kwanza huko kwenye nchi za watu wanafanya nini, si warudi kwao? na wao ni akina nani mpaka waanze kui-dictate UK nini cha kufanya!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto wa Mulla ambaye ni jangili amuua mtu aliyemhisi kumchongea, ajeruhi wengine

    Sasa na wewe utoe ushahidi wa kuwa huyo mtuhumiwa wa mauaji na kujeruhi hakufanya hivyo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hii Airport gani, mazingira yake yanavutia

    Mbinga International Airport
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Asante sana kwa ufafanuzi ndugu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Wewe hujielewi. Hatupo kwenye mipasho hapa. Tafuta size yako ndio ujibizane nao. Mazingira sio bahari peke yake...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    kweli kabisa, nilikuwa nawaza hivyo hivyo....alafu Muungano na Mazingira navyo vyahusianaje??
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Akson - Mjumbe wa bodi ya bandari iliyovunjwa kwa ufisadi

    ....Mweeeh! Hii kali sana; ina maana na Naibu Spika naye atakuwa chini ya ulinzi? Hivi si ujumbe wake katika Bodi unakoma mara baada ya kuapishwa kuwa Naibu Spika?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    Nashukuru kwa kuliona hilo Mkuu wangu; nimekuwa nikisema kama wewe kuwa kwa miaka kumi hatukuwa na Kiongozi nchi hii..
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru amekera sana leo kuchanganya lugha wakati akihutubia

    Kwani aliokuwa anaongea nao hawakumwelewa? Ujumbe haukufika? Alafu unavyoandika hata hufichi hisia zako kuwa zina chembe ya chuki. Kaeni kwenye mstari!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    kama kweli zile picha na tafsiri zake vimetoka kwake ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu. Wenye nia njema na Tanzania tuzidi kuiombea nchi yetu na Rais wetu. Pia tuombe ili aweze kuunda Baraza la Mawaziri lenye tija na kwamba apate watu wazuri wa kusimamia hizo wizara.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri? Magufuli atinga ofisini kwa Waziri Mkuu na kufanya nae mazungumzo

    ingependeza sana kama hakutakuwa na manaibu......it is my prayer
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kuwa na Wizara 15 tu

    ...mweeeh!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kuwa na Wizara 15 tu

    ....of all the people Nyalandu?....Mh Rais is serious and he will work with serious people, NOT type of Nyalandu..
  14. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kuwa na Wizara 15 tu

    Naamini hawezi kumuweka Nyalandu kwenye Baraza lake. Tuombe iwe hivyo..
  15. R

    JamiiForums Tanzania Viva viettel (halotel)

    Hapana Mkuu; speed haiwezi shuka kwa sababu wanatumia optic fiber.
Back
Top Bottom