Recent content by Rusezela

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Inasemaje hiyo post tafadhali nisaidie.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kiranga ni wapi inajipinga?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Naamini ktk Qur an hakuna atakae pata adhabu kama uongovu alikuwa hajafikishiwa.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bombardier ni maumivu kwa Mtanzania kiasi hiki!? Bunge lagundua...

    Nafiki ww hujawahi kufa ya hata ujacliyamali. Biashara ya mabilioni kama umewekeza lazima ndani ya miaka 8 ndio utaanza kupata faida kidogo. Hata muuza chipc lazima aanze na hasara, kwanza kipata eneo ni pesa, kujenga banda ni pesa, kinunua vifaa pia ni pesa. Je unafikiri ndani ya mwezi moja...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, boyfriend wng anatetemeka sana tukiwa faragha

    Anakuwa anataka lufika kileleni ndio maana anatetemeka, baada ya hapo faham zinamtoka. Ucogope ww ni kidume angikisha. Hongera sana ndugu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Kama ukipima ukakutwa na +ve ukaanza kutia dawa, AF ikaamuwa kiacha je unaweza kuathirika zaidi??
  7. R

    JamiiForums Tanzania BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Mla kuku wa Jirani mguu imemuelekea. Muda huu ni wa wacristo kuongea, waislam waliongea,maaskoff wakasema ni machochezi kabla hata serekali hajajibu. Ss pambaneni wao waislam wanawaangalia2.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Vigogo 600 wamtembelea Lissu hospitali

    Hoja yako ya msingi ni IPI????
  9. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda na ugandizi wa mbeba maono wa CHADEMA

    Haya warinde kura, maana CCM in wezi wakura.je yakitokea Yale ya Mwaka 2015 ambayo Hamiri jeshi alipo Sema kule Mwanza kuwa" mm nasema kama hamiri jeshi kila mtu akimaliza kupiga kura arudi nyumbani" je mtalinda kura?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT, wabariki uuzwaji wa kiwanja cha Hospitali ya Wilaya kilichotengewa tsh mil 400

    ADHARUSI Manispaa ya KIGOMA haina shule kumi za kidato cha tano na chasita. Acha uongo.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hivi ki-diplomasia Kenya kuruhusu ardhi yake kutumika na Tundu Lissu kuituhumu Serikali yetu ni sawa?

    Erythrocyte ulichoongea ni kitu amcho kinalingana na uelewa wako. Nikama mtoto akichezea kinyec cwezi kumshangaa kwa kuwa akili yake inalingana na alichofanya.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

    Hii ni hatari kama ni kweli.
Back
Top Bottom