Recent content by runtown

  1. runtown

    KERO Shida ya Usafiri Wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro

    Me ni dereva ni kua kuna trafic hawaweka utaratibu mzuri wa kazi yao
  2. runtown

    KERO Shida ya Usafiri Wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro

    Route fupi naongelea sio masafa marefu
  3. runtown

    KERO Shida ya Usafiri Wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro

    Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao. Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu ambacho kimesababisha shida na kero kwa wasafiri wilayani Rombo. Mtu unakaa stand hadi unachoka na...
  4. runtown

    Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

    SIjasoma uzzi wote ila kitu kanisa katolik haliwez kuacha ni ela ata iwe chafu vp
  5. runtown

    Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

    Mkuu mbona kama itakua hospital hio
  6. runtown

    Msaada tutani wakuu

    Shukrani mkuu
  7. runtown

    Msaada tutani wakuu

    Sasa apa serekali inatusaidiaje kifurushi kisibeti
  8. runtown

    Msaada tutani wakuu

    SIjaelewa unaeza eka scren shoot
  9. runtown

    Msaada tutani wakuu

    Uku nilipo mtandao unasumbua ndio maana nikaomba msaada apa
  10. runtown

    Msaada tutani wakuu

    Faini za barabarani za trafik
  11. runtown

    Msaada tutani wakuu

    Naomba mtu anisaidie kukagua deni la gar namba ya gar ni T698 CUY Naona mtandao umegoma na kifurushi kinabeti leo.... natanguliza shukrani
  12. runtown

    Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Kuna siku ñimetoroka chuo mkoani nikaenda dar kufika ubungo nikaona na ushamba wangu nikipanda gari kwenda kariakoo naeza potea nikaona option rahis nipande boda ile tume tembea tembea jamaa akachomekea kwe barabara ya mwendo kasi ile ata mita mia azijaisha nageuka nyuma naona dubwana hili...
  13. runtown

    Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Kuna aliefanikiwa wakuu me bdo napiga inaongea kirusi na hawapokei
  14. runtown

    Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Mbonà hawapokei cm
Back
Top Bottom