Recent content by Rumfo

  1. R

    Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Hata form 6 kuna Div 5. Tembelea tovuti yao mambo yote hadharani kwa sasa siko mahali muafaka nitaweka baadaye
  2. R

    Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Huo ni uthibitisho kuwa hawa jamaa wamekutupuka. Wanadai wameshirisha wadau lakini inaonekana kuja personal interest zaidi lakini walichotangaza hawakukubaliana hata wao wenyewe kwa sababu zifuatazo: 1 Gazeti la Nipashe Jmosi lilionesha kuwa Kawambwa alitofautiana na Mchome kuhusu kufutwa kwa...
  3. R

    Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

    Unastahili kukabidhiwa mikoba ya Sheikh Yahya maana uliona mbali mapema alipoteuliwa tu na ukawa mzalendo kutoa dukuduku lako. Jamaa hafai kabisa kwa maamuzi haya ya viwango vya ufaulu nimemdharau sana
  4. R

    Shibuda amtaka waziri mkuu mh. Pinda kujiuzulu

    Huyu Mh haeleweki wala hatabiriki
  5. R

    Hureeeee BIG RESULT NOW Hakuna kufeli tena . Tometokomeza Ziro

    Imeshatokomea sasa itakuwa ni historia.
  6. R

    Naomba CV ya Prof. Sifuri Mchome, nna Mashaka!!!!!!!!!

    Hilo jina la SFURI MCHOME, MMMH!
  7. R

    Duh,siamini!

    Pole sana
  8. R

    Kama serikali imefuta Division 0,je vipi kuhusu sheria ya "Discontinuation" katika vyuo vikuu?

    Usiwe na wasiwasi hayo ndiyo yatakayofuata maana discontinuation ikiendelea hawa matunda ya DIV 5 wote watafukuzwa. Lazima hilo lifanyike kabla hawajajiunga na vyuo vikuu
  9. R

    Bunge lasimamisha operation ya Majangili, kuunda kamati ya bunge kuchunguza

    Kila kukicha TUME, KAMATI za uchunguzi, kwa nini hatuwezi kufuata sheria nci hii?
  10. R

    Ufoo aapa kiapo cha kuficha siri

    Hiyo ni busara siyo mambo binafsi kuweka hadharani
  11. R

    SIKUBALIANI na madaraja mapya ya f4&f6

    Inasikitidha sana kuona kuwa viongozi wa elimu wameweka mbele maslahi yao badala ya kufikiria namna ya kuleta maendeleo katika elimu ambayo iko ICU. Hii yote ni kwa sababu Kawambwa na viongozi wote wa Wizara walisaini mikataba kuwa ufaulu usipofika 60% watajiuzulu, kwa viwango hivi...
  12. R

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Nashindwa kabisa kuielewa Wizara ya Elimu. Mwezi Julai walitoa waraka kuwa mwanafunzi hawezi kuendelea mwaka wa pili katika Mafunzo ya Ualimu kama atakuwa hajapata alama 41 kwa 100 kwa kila somo. Sasa kama unamchagua kujiunga na Mafunzo ya Ualimu kwa viwango vya ufaulu vinavyoanzia 0-19 ambazo...
Back
Top Bottom